Video
Rais wa Yanga Hersi Said afunguka mchakato ujenzi wa uwanja
Channel: Azam TV Watch on YouTube
About this video
MCHAKATO WA UJENZI WA YANGA: “Kuhakikisha ardhi hiyo haiendi kukopewa” Rais wa Yanga Hersi Said amesema moja ya maangalizo waliyopewa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika safari yake ya ujenzi wa uwanja, ni kuhakikisha kwamba hatokei mwekezaji ambaye atatumia ardhi yao kwenda kuchukua mkopo ili kuja kusaidia ujenzi. Hersi amesema mwekezaji wao katika ujenzi huo wa uwanja, Ghalib Said Mohamed (GSM), amethibitisha kwamba anazo fedha za ujenzi ambazo hazihusiani na mkopo. #YangaSC
Related stories
SportsJayrutty, Mangungu wapitishwa na BMT
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) leo Ijumaa, Novemba 20, 2026 limetangaza orodha ya watia nia waliopitishwa na walioenguliwa kugombea nafasi tofauti za uongozi wa Kamisheni ya Kusimamia Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC)
SportsPolisi Tanzania 0-0 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 20/11/2026
Cheikh Ibrahim Toure na Peter Shalulile wametikisa nyavu za Polisi Tanzania wakiipa Yanga ushindi wa 2-0 kwenye Dimba la Ushirika, Moshi. Hii ni Ligi Kuu ya NBC.
SportsInfantino inspects Warri Stadium, pledges FIFA support during visit
The FIFA president also congratulated Nigeria’s U-17 women’s team, the Flamingos, on winning the FIFA U-17 Women’s World Cup in Morocco, describing their triumph as a source of pride.
SportsBalozi Qatar awanunulia tiketi mashabiki kuisapoti Serengeti Boys Kombe la Dunia U17
KUTOKA QATAR: “…tutawapiga Coasta Rica 3-0, hatutakuwa na huruma” Balozi wa Tanzania nchini Qatar, Habibu Awesi Mohamed, amenunua tiketi 100 pamoja na jezi kwa ajili ya watanzania wanaoishi nchini…