Video
ZILIZOBAMBA MITANDAONI | Mjadala mzito kuhusu mshambuliaji hatari Yanga
Channel: Azam TV Watch on YouTube
About this video
ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Mjadala mzito kuhusu nani anastahili kuwa ‘clinical finisher’ katika washambuliaji waliowahi kucheza Yanga na ambao bado wapo mpaka sasa. Majina yaliyowekwa mezani ni Jerson Tegete, Amis Tambwe, Hamis Kiiza, Fiston Mayele na sasa Peter Shalulile. Wachambuzi Godlisten Muro na Lilian Mukulu kila wao wamekwenda na jina la Amis Tambwe huku Gharib Mzinga akimtaja Obrey Chirwa. Je, wewe utakwenda na nani…??? #Zilizobamba
Related stories
SportsCoca-Cola returns as official sponsor of AFCON 2027 in East Africa
Building on a shared history, Coca-Cola returns to one of Africa's biggest football stages, celebrating the fans, cultures, and communities that bring the game to life.
SportsArsenal goalkeeper Raya absent from training session
alkeeper David Raya was absent from Arsenal's open training session on Monday ahead of their Champions League match against Borussia Dortmund after he was forced off during the Gunners' 2-2 draw at Newcastle.
SportsFVS Yamliza kocha Mashujaa FC
KOCHA wa Mashujaa, Amani Josiah, ameeleza kutoridhishwa na matumizi ya Mfumo wa Usaidizi wa Waamuzi (FVS) katika mchezo dhidi ya Geita Gold, akidai kikosi chake hakikupata nafasi ya kunufaika na mfumo huo katika matukio muhimu kutokana na changamoto za kiufundi.
SportsGoba Hills Marathon kufanyika Januari 23
MASHINDANO ya Goba Hills Marathon 2027, yatafanyika Januari 23, 2027 katika viwanja vya Shule ya Sekondari Goba, Dar es Salaam, huku yakitarajiwa kuwakutanisha wakimbiaji kutoka makundi mbalimbali katika msimu wake wa nane.