Video
RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA RAIS WA BURUNDI NDAYISHIMIYE, ADDIS ABABA ETHIOPIA,MKUTANO WA (CPHIA 2026)
Channel: Millard Ayo Watch on YouTube
About this video
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akizungumza na Mhe. Evariste Ndayishimiye, Rais wa Jamhuri ya Burundi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha African International Convention Centre (AICC), Addis Ababa, Ethiopia kwa ajili ya kushiriki kwenye Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika (CPHIA 2026), tarehe 23 Novemba, 2026.
Related stories
NewsPM Nsengiyumva challenges Africa to rethink healthcare financing
Prime Minister Justin Nsengiyumva has called on African countries to take greater responsibility for financing their health systems, warning that declining external assistance a...
NewsMurray-Bruce hails Tinubu’s CNG bus initiative, urges governors to act
Former Senator Ben Murray-Bruce has commended President Bola Tinubu’s initiative to introduce compressed natural gas (CNG)-powered buses and promote local vehicle assembly, urging state governors to invest in the programme and supporting infrastructure. Murray-Bruce, founder of Silverbird Group, made the call in a Facebook post on Monday, describing the initiative as a step towards transforming […]
NewsRAIS SAMIA ATANGAZA UFADHILI WATAALAM WA AFYA 60 AFRIKA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kinara wa Umoja wa Afrika wa Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza ufadhili wa awali wa nafasi 60 za mafunzo ya kibobezi na ya…
NewsNo electricity tariff increase in 2027 - Power minister assures Nigerians
The minister said the government was also reviewing assumptions in the electricity tariff model, but ruled out an increase.