Video
ZELENSKY AMWITA PUTIN MUUAJI BAADA YA TRUMP KUMTAJA KUWA RAFIKI
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
ZELENSKY AMWITA PUTIN MUUAJI BAADA YA TRUMP KUMTAJA KUWA RAFIKI Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, amemwita Rais wa Urusi, Vladimir Putin, kuwa ni "muuaji" kufuatia kauli ya Rais wa Marekani, Donald Trump, aliyemtaja kiongozi huyo wa Urusi kama rafiki yake. Katika mahojiano na CNN, Zelenskyy ameweka wazi msimamo wake huku mashambulizi makubwa ya makombora na droni yakiripotiwa kuendelea nchini Ukraine. Fuatilia taarifa hii kwa undani kufahamu kauli ya Trump, msimamo wa Zelenskyy, na hali ya mapigano inayoendelea. #Zelenskyy #Putin #DonaldTrump #UrusiNaUkraine #GlobalTVOnline #HabariZaKimataifa #RussiaUkraineWar ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
InternationalIndia’s opposition stages protests against Meta over account removals
Indian Youth Congress issues a seven-day 'ultimatum' to the US technology giant, urging it to lift all restrictions.
InternationalHeartwarming moment as politician pops the question to long-term girlfriend in parliament
Former New South Wales MP Jordan Lane proposed to partner Natalie during his farewell speech in Parliament, prompting cheers and applause in a viral video online.
InternationalWho is El Chapo Isidro, the alleged cartel boss arrested in Mexico?
Mexican forces arrested Chapo Isidro in Sinaloa. He was on the FBI’s most wanted list and faces US drug charges.
InternationalUS midterms 2026: What happens before the new Congress takes office?
What happens between the US midterm elections and January, when Democrats take control of Congress?