WANAMGAMBO wa kikosi cha RSF ambao wamekuwa wakipambana na jeshi la serikali kwa muda wa miaka miwili na nusu, walisababisha vifo vya zaidi ya watu 1,000 wakati wa mashambulio ya siku tatu yaliyofanywa mwezi Aprili.
Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa Desemba 18, 2025.
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu OHCHR imeeleza katika ripoti yake kwamba "ilirekodi mauaji ya raia 1,013 wakati wa mashambulio ya RSF kwenye kambi ya wakimbizi wa ndani ya Zamzam kati ya Aprili 11 na 13."
Ripoti hiyo imeongeza kuwa zaidi ya wakimbizi 400,000 waliokuwepo kwenye kambi hiyo walilazimika kukimbia wakati wa mashambulio hayo ya siku tatu.
Kwa mujibu wa takwimu za Umoja wa Mataifa, mapigano kati ya jeshi la serikali na wanamgambo wa RSF yamesababisha takriban watu milioni 12 kuyahama makazi yao nchini Sudan huku maelfu wakikabiliwa na njaa.
Zaidi ya watu 1000 Sudan wameuawa na RSF – UN
Taifa Leo 1 min read

This story was originally published by Taifa Leo.
Read the full story at Taifa LeoRelated stories
NewsMAGAZETI NOV 21, 2026: SAMIA KATIBA MPYA ITAPATIKANA 2028/29
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
ITV Tanzania Video
NewsTinubu’s re-election campaign backed by visible evidence, not just promises — Oshiomhole
"The real campaign is not about promising what we will do. It is about showing what President Tinubu is already doing"
Vanguard News 1 min read
NewsTAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI: NOV 21, 2026
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
ITV Tanzania Video
News