Video
WAZIRI AWESO AGEUKA MBOGO, AHOJI "UWEZO WA UZALISHAJI UPO, KWA NINI SEGEREA HAINA MAJI?
Channel: Millard Ayo Watch on YouTube
About this video
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuandaa mpango wa kudumu wa kutatua changamoto ya upatikanaji wa maji katika Jimbo la Segerea, jijini Dar es Salaam, huku akisisitiza kuwa hataridhika na maelezo yasiyoambatana na utekelezaji wa vitendo. Akizungumza katika kongamano la wanawake wa Jimbo la Segerea lililoandaliwa na Mbunge wa jimbo hilo, Agnesta Kaiza, Waziri Aweso alihoji ni kwa nini wakazi wa Segerea wanaendelea kukosa maji, ilhali mamlaka hiyo ina uwezo mkubwa wa uzalishaji. "Maji ni fadhila kwa wananchi wa Segerea au ni haki yao? Heshima ya DAWASA ni kuwapatia wananchi maji," alisema Waziri Aweso, akisisitiza kuwa upatikanaji wa huduma hiyo si hisani bali ni haki ya msingi ya kila mwananchi wa Tanzania.
Related stories
NewsHABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55 - NOVEMBA 23, 2026
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
NewsMAPYA TUCTA: UCHAGUZI WAAHIRISHWA, KASORO ZATAJWA “AMESIMAMISHWA”
News
NewsEdwin Sifuna reveals when he’ll meet New York mayor Zohran Mamdani
Senator Edwin Sifuna rejected criticism of his US diaspora tour at a Pennsylvania town hall, saying he will meet New York Mayor Zohran Mamdani at the UN next year.