Senator Edwin Sifuna rejected criticism of his US diaspora tour at a Pennsylvania town hall, saying he will meet New York Mayor Zohran Mamdani at the UN next year.
Edwin Sifuna reveals when he’ll meet New York mayor Zohran Mamdani

This story was originally published by Tuko.
Read the full story at TukoRelated stories
NewsHABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55 - NOVEMBA 23, 2026
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
NewsUbishi wachacha ODM kuhusu kumwekea Ruto masharti ya ushirikiano kwa uchaguzi 2027
CHAMA cha ODM kinakabiliwa na mgawanyiko kuhusu masharti kinayopaswa kuweka kabla ya kuingia katika makubaliano rasmi ya kisiasa na Rais William Ruto kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027. Baadhi ya viongozi wanataka chama hicho kiwe na makubaliano ya maandishi yatakayokihakikishia mgao mkubwa serikalini na kulinda ngome zake za kisiasa, huku wengine wakionya kuwa kumwekea Rais masharti makali kunaweza kuhatarisha ushirikiano wao. Tofauti hizo zilijitokeza wazi Ijumaa wakati wa mazishi ya Joshua Orero, kakake Mbunge wa Kibra Peter Orero, ambapo viongozi walitoa misimamo tofauti kuhusu uhusiano wa ODM na Rais Ruto. Katibu katika Wizara ya Usalama wa Ndani, Raymond Omollo, alikosoa viongozi wanaosisitiza masharti makali, akisema chama kinapaswa kuzingatia maendeleo yanayotekelezwa na serikali badala ya kutanguliza nyadhifa. “Ni kweli tunapaswa kuimarisha chama, lakini tuwe waangalifu tunapofanya hivyo. Tusivifanye vyama vingine kuwa maadui wetu kwa sababu mwishowe sote tunaweza kupoteza katika hali hiyo,” akasema Dkt Omollo. Katibu huyo alisema wakazi wanapaswa kutathmini miradi ya maendeleo ya serikali badala ya kujikita katika mazungumzo ya kugawana mamlaka. Hata hivyo, Gavana wa Homa Bay Gladys Wanga alisisitiza kuwa ODM haiwezi kuingia katika muungano bila masharti ya wazi yanayojulikana. “Kama chama na jamii, lazima tujadiliane kuhusu mamlaka na kuamua viti tutakavyopata. Tukiingia katika ushirikiano bila mazungumzo, tutakuwa tunadanganyana,” akasema. Bi Wanga alisema uhusiano wa ODM na Rais Ruto umekuwa mzuri, akifichua kuwa kiongozi huyo wa taifa ametembelea Homa Bay mara 16. Aliahidi kuwa ODM itamuunga mkono Rais Ruto mnamo 2027 lakini itafuata njia ya mazungumzo kupata makubaliano rasmi. Wiki iliyopita, kiongozi wa ODM Oburu Oginga alikutana na Rais Ruto Ikulu, Nairobi, kujadili maendeleo ya kamati ya kiufundi ya ODM na UDA inayotayarisha manifesto ya pamoja. Viongozi wa ODM wanasema pande hizo zinatarajiwa kutia saini makubaliano yatakayoongoza ushirikiano wao kati
NewsNothing will stop 750km Coastal Highway – Umahi
He quoted the minister as saying, "Nothing will happen to the 750-kilometre Lagos-Calabar Coastal Highway, which passes through the nine coastal states. The President has directed that the project must be completed as envisaged.”
NewsHABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55 - NOVEMBA 23, 2026
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania