VideoLive
WASIFU WA ANGEL: SIMULIZI INAYOUMIZA YA MAISHA YAKE HADI MAUTI YALIPOMFIKA!
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
WASIFU WA ANGEL: SIMULIZI INAYOUMIZA YA MAISHA YAKE HADI MAUTI YALIPOMFIKA! Simulizi nzito na ya kusikitisha ya safari ya maisha ya Angel Wariaeli hadi mauti yalipomkuta. Katika video hii, tunakuletea wasifu wake kamili, majonzi ya familia, ndugu, na waombolezaji waliokusanyika kutoa heshima zao za mwisho. Tazama historia ya binti huyu na jinsi kifo chake kilivyogusa mioyo ya watu wengi kote nchini. Hakika ni pigo zito na simanzi kubwa kwa wote waliomfahamu. #AngelWariaeli #GlobalTVOnline #Simanzi #Wasifu #Tanzia #AngelWariaeli #GlobalTVOnline #Simanzi #Wasifu #Tanzia #Habari #Majonzi ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
General‘Before I die, I’ll release some videos’ – Ruth Ogunleye, dismissed Nigerian soldier
By Enitan Abdultawab Ruth Ogunleye, a former Nigerian soldier discharged from the military following allegations of sexual harassment against a senior officer, has hinted at releasing videos on social media before her death. Ogunleye made the disclosure in a video shared by Naija Chain on Sunday. She also apologised to her father for failing to […]
GeneralObi urges Nigerians to reject identity-based politics
The presidential candidate of Nigeria Democratic Congress, NDC, Peter Obi, has urged Nigerians to assess political leaders based on their records, competence, character and integrity rather than ethnic, religious or personal affiliations. Obi made the call in a post on his X handle after attending the retirement service of Reverend Ezekiel Dachomo in Plateau State. […]
GeneralKenya Met predicts rain in 30 counties, warns of cold nights below 10°C over next 7 days
Kenya Met predicted rain in 30 counties from November 24 to 30, with sub-10°C nights in the highlands and temperatures above 35°C in northern and coastal areas.
GeneralPesalink attains basic inclusivity status as it takes on M-Pesa with till, paybill services
Pesalink has evolved to allow money transfer between and across banks, Saccos, and even mobile money platforms.