Video
VIWANJANI | Yanga SC kibaruani mbele ya Polisi Tanzania uwanja wa Ushirika Moshi.
Channel: Azam TV Watch on YouTube
About this video
Mchambuzi wa soka, Juma Abdul amesema mchezo huo utakuwa mgumu kwa Yanga SC kutokana na aina ya mpinzani wanayetarajia kukutana naye pamoja na hali ya uwanja, hususani eneo la kuchezea ambalo linaweza kuwa changamoto kwa timu hiyo.
Related stories
SportsBalozi Qatar awanunulia tiketi mashabiki kuisapoti Serengeti Boys Kombe la Dunia U17
KUTOKA QATAR: “…tutawapiga Coasta Rica 3-0, hatutakuwa na huruma” Balozi wa Tanzania nchini Qatar, Habibu Awesi Mohamed, amenunua tiketi 100 pamoja na jezi kwa ajili ya watanzania wanaoishi nchini…
SportsHATA MASIKINI WANAWEZA KUONGOZA TIMU YA SIMBA
SportsMagoli | Polisi Tanzania 0-2 Yanga SC | NBC Premier League 20/11/2026
Cheikh Ibrahim Toure na Peter Shalulile wametikisa nyavu za Polisi Tanzania wakiipa Yanga ushindi wa 2-0 kwenye Dimba la Ushirika, Moshi. Hii ni Ligi Kuu ya NBC.
SportsMziki wa Fadlu wavunja mwiko Ushirika, Moshi
“MMEUONA mziki wa Fadlu!” Hiyo ndiyo kauli iliyotawala kwenye Uwanja wa Ushirika, Moshi, leo, wakati Yanga ilipoibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo mkali wa Ligi Kuu Bara uliokuwa na matukio mengi ya kusisimua.