Video
Balozi Qatar awanunulia tiketi mashabiki kuisapoti Serengeti Boys Kombe la Dunia U17
Channel: Azam TV Watch on YouTube
About this video
KUTOKA QATAR: “…tutawapiga Coasta Rica 3-0, hatutakuwa na huruma” Balozi wa Tanzania nchini Qatar, Habibu Awesi Mohamed, amenunua tiketi 100 pamoja na jezi kwa ajili ya watanzania wanaoishi nchini humo, ili kwenda kuiunga mkono timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys. Hatua hiyo inalenga kuwapa nafasi watanzania hao kujitokeza kwa wingi uwanjani kesho, kushangilia na kuipa hamasa timu hiyo itakapokabiliana na Costa Rica katika mchezo wa michuano ya Kombe la Dunia U17 inayoendelea nchini humo. Balozi amesema nchini humo tayari kuna mashabiki watanzania takriban 250 na ameelza jinsi walivyojipanga kufika dimbani… Mchezo huo utapigwa kesho Novemba 21 saa 10:00 jioni na utakufikia mbashara kupitia #AzamSports5HD #FIFAU17WorldCup2026 #U17WC #FIFAU17WC #Qatar2026 #SerengetiBoys
Related stories
SportsInfantino inspects Warri Stadium, pledges FIFA support during visit
The FIFA president also congratulated Nigeria’s U-17 women’s team, the Flamingos, on winning the FIFA U-17 Women’s World Cup in Morocco, describing their triumph as a source of pride.
SportsHATA MASIKINI WANAWEZA KUONGOZA TIMU YA SIMBA
SportsMagoli | Polisi Tanzania 0-2 Yanga SC | NBC Premier League 20/11/2026
Cheikh Ibrahim Toure na Peter Shalulile wametikisa nyavu za Polisi Tanzania wakiipa Yanga ushindi wa 2-0 kwenye Dimba la Ushirika, Moshi. Hii ni Ligi Kuu ya NBC.
SportsMziki wa Fadlu wavunja mwiko Ushirika, Moshi
“MMEUONA mziki wa Fadlu!” Hiyo ndiyo kauli iliyotawala kwenye Uwanja wa Ushirika, Moshi, leo, wakati Yanga ilipoibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo mkali wa Ligi Kuu Bara uliokuwa na matukio mengi ya kusisimua.