VideoLive
"UCHAWI WALETE KWANGU, HAPA HAKUNA SHAMBA LA MTU!" - MGOGORO WA ARDHI WAVUMA
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
"UCHAWI WALETE KWANGU, HAPA HAKUNA SHAMBA LA MTU!" - MGOGORO WA ARDHI WAVUMA "Uchawi mlete kwangu, hapa hakuna shamba la mtu!" - Kauli nzito yatolewa hadharani kuhusu mgogoro wa ardhi na mashamba ya kijiji ambapo baadhi ya watu wanadaiwa kutishia wengine kwa mapanga na ushirikina. Katika video hii, uongozi unaweka wazi ukweli kuhusu maeneo hayo kuwa ni mali halali ya kijiji baada ya hati rasmi kupatikana kutoka halmashauri. Wananchi wamepewa maelekezo kuhusu taratibu za kukodisha maeneo hayo kwa shughuli za kilimo ili fedha zitakazopatikana zisaidie maendeleo ya kijiji, ikiwemo ujenzi wa madarasa na zahanati. #MgogoroWaArdhi #HabariMpya #Tanzania #HabariLeo #GlobalTV ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
GeneralElectoral Act not responsible for rising campaign violence — Adegbonmire
By Cynthia Alo & Kafayat Kokumo Chairman of the Senate Ad Hoc Committee on Electoral Reforms, Adeniyi Adegbonmire, has said the Electoral Act is not responsible for rising cases of campaign violence across the country, insisting that the problem lies in the failure of relevant institutions to enforce its provisions. Adegbonmire, who is also the […]
GeneralNigeria records 94% HIV viral suppression – NACA
The NACA director-general, however, identified gaps in HIV diagnosis, stressing the need to ensure more Nigerians know their status and access uninterrupted treatment. She said Early Infant Diagnosis coverage among HIV-exposed infants increased from 15 per cent in 2022 to 66 per cent in 2025. “While this is significant progress, we must do more to […]
GeneralMTENDAJI UYUI AREJESHA MILIONI NANE ZA WANANCHI
#HABARI: Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Malongwe wilayani Uyui mkoani Tabora, Wiston Cyprian Hizza, anayelalamikiwa kutumia madaraka yake vibaya kwa kuweka watu vizuizini na kuwapora mali, amelazimika…
General