TIMU ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 23, Tanzania U-23 jioni ya leo imeondolewa katika Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON U-23) licha ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Kenya katika mechi ya marudiano iliyopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.