TIMU ya wasichana chini ya miaka 15 imeanza mashindano ya Ubingwa wa Shule za Afrika inayofanyika Uganda kwa kishindo baada ya kuikanda Rwanda kwa mabao 5-1.
Hata hivyo kwa upande wa wavulana, Tanzania imeshindwa kutamba mbele ya Burundi baada ya kupoteza kwa mikwaju ya penalti 5-4.
WASICHANA
TanzaniaU15 5⃣-1⃣ RwandaU15
Helena Hamis
Bahati Steven
Elizabeth John
Neema Thomas
WAVUALANA
Tanzania 0⃣-0⃣ Burundi
P(4-5)
The post Tanzania yaikanda Rwanda shule za Afrika appeared first on HabariLeo.




