Video
TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI: NOV 24, 2026
Channel: ITV Tanzania Watch on YouTube
About this video
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : bit.ly/itvtanzania Facebook : bit.ly/2KeQNl3 Twitter : bit.ly/2XG7aii Instagram : bit.ly/34KItmg
Related stories
NewsDelta attack: Obi calls for probe, protection of opposition supporters
Obi expressed condolences to the families of the deceased and prayed for the recovery of the injured, while urging security agencies to conduct a comprehensive investigation into the incident.
NewsWakenya wanaoishi Amerika wamwahidi Sifuna mamilioni kufadhili kampeni zake
KIONGOZI wa Linda Mwananchi Movement (LMM) Edwin Sifuna ameanzisha harakati za kutafuta ufadhili wa kampeni zake za urais za 2027 nchini Amerika, huku akiwahimiza Wakenya wanaoishi ughaibuni kuchangia azma yake ya kuingia Ikulu. Barua zilizowasilishwa katika Idara ya Haki, Amerika zinaonyesha kuwa Mkenya anayeishi New Jersey, Dkt Gilbert Shanga, aliomba Oktoba 28 kuratibu ziara ya Seneta huyo wa Nairobi. Dkt Shanga alipewa jukumu la kufanikisha mikutano ya Bw Sifuna na Wakenya wanaoishi Amerika Kaskazini pamoja na kuratibu shughuli za kuchangisha fedha. Bw Sifuna na ujumbe wa wanasiasa wanaounga mkono azma yake waliwasili Amerika mnamo Novemba 20 kwa ziara itakayokamilika Disemba 7 kwa chakula cha jioni Silicon Valley. Katika mkutano na Bw Sifuna, Mkenya anayeishi North Carolina, George Njue, aliahidi kuhamasisha wananchi wanaoishi ughaibuni kuchangisha Sh100 milioni kwa kampeni zake. Bw Njue, ambaye alisema aliendesha gari kwa saa tisa kuhudhuria mkutano huo, alihimiza Wakenya Amerika kujiunga na juhudi za kifedha za LMM. “Hamna Wakenya wengi ughaibuni kama ya Amerika. Tuna pesa zote zinazohitajika na Linda Mwananchi kumfanya Sifuna kuwa rais,” alisema. Alisema Wakenya ughaibuni wanatarajia watanufaika kiuchumi kupitia miradi ya maendeleo iwapo Bw Sifuna atashinda urais. Mbunge wa Kabuchai Majimbo Kalasinga, ambaye ni mshirika wa karibu wa Bw Sifuna, alisema Bw Njue ameahidi kutoa fedha hizo kabla ujumbe huo haujaondoka Amerika. Alifichua kuwa Bw Njue pia amelipia makao makuu ya LMM nchini Amerika kwa mkataba wa mwaka mmoja katika mji wa Hackettstown. Ziara hiyo inajiri huku viongozi wanaounga mkono serikali wakitilia shaka uwezo wa Bw Sifuna kugharamia kampeni za urais na kujenga mtandao wa kisiasa nchini kote. Kinara wa Mawaziri Musalia Mudavadi aliwahi kuhoji uwezo wa mwanasiasa huyo kushindana na vyama vilivyojijenga kitaifa. Hata hivyo, Bw Sifuna ameendelea kutumia ziara hiyo kueleza sera zake, akiahidi kupunguza matumizi yasiyo ya lazima serikalini, kupambana
NewsKivu Belt water project brings relief to households, schools and health centres
For years, collecting water was a daily struggle for Rachel Mukamana, a 46-year-old mother in Karongi District. Her family depended on the nearby Kavungu River for drinking, cook...
NewsCurfew in Delta: How gunmen killed 4 in Omo-Agege’s convoy
Videos circulating on social media showed Umukoro, AKA Akhima, lying motionless at a hospital where efforts were being made to revive him