Video
SIMULIZI YA EDO MNYAMA - SAFARI YA MAISHA YA MTANGAZAJI HADI KIFO CHAKE...
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
SIMULIZI YA EDO MNYAMA - SAFARI YA MAISHA YA MTANGAZAJI HADI KIFO CHAKE... Tasnia ya habari na utangazaji nchini Tanzania imeingia kwenye majonzi makubwa kufuatia taarifa za kifo cha mtangazaji maarufu wa kituo cha redio cha Ebony FM cha mjini Iringa, Edo Bashir (Edo Mnyama). Katika video hii, Global TV inakuletea simulizi kamili ya maisha yake, umaarufu alioujenga kupitia mchanganyiko wa lugha ya Kiswahili na Kihehe, mchango wake katika tasnia ya habari, na taarifa za kuondoka kwake akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Ikonda, Makete mkoani Njombe. Msiba upo Kitwiru, Iringa nyumbani kwa mlezi wake. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. #EdoMnyama #EbonyFM #KifoChaEdoMnyama #HabariZaIringa #GlobalTVOnline ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
TravelMbarawa sounds alarm over road safety ahead of Christmas travel rush
Transport Minister Makame Mbarawa has urged bus owners to ensure their vehicles are thoroughly inspected and roadworthy ahead of the Christmas and New Year holidays, warning that mechanical faults, speeding and driver fatigue could endanger passengers during the festive season.
TravelNCAA plans crackdown on airport extortion, seeks employers’ support
By Dickson Omobola Nigeria Civil Aviation Authority, NCAA, Monday, disclosed that it is designing an advisory to educate passengers on how to navigate the menace of begging and extortion at airports across the country. NCAA, which lamented that the situation had become an embarrassment, said some passengers had missed flights after passing through screening because […]
TravelAviation key to restoring Plateau’s tourism fortunes – Mutfwang
By Dickson Omobola Governor Caleb Mutfwang of Plateau State has said his administration is determined to restore the state’s lost glory in the hospitality and tourism sector, adding that improved air connectivity is central to achieving the objective. Mutfwang, while commending United Nigeria Airlines for commencing flight operations at the Yakubu Gowon Airport, Jos, assured […]
TravelMikumi Park eyes fortunes in its airport whose construction is 90 percent complete
MIKUMI: CONSTRUCTION of Kikoboga Airport inside Mikumi National Park has reached 90 per cent, with the project expected to boost tourist arrivals, increase national revenue and stimulate economic activities among communities surrounding the park. The project comprises a passenger terminal building with the capacity to handle 160 arriving and departing passengers, a 1.8-kilometre runway, a…