Video
MUIGIZAJI PETE EDOCHIE AFARIKI DUNIA NIGERIA
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
Taarifa za kifo cha muigizaji huyo zimetolewa na familia yake kupitia taarifa iliyosainiwa na mwanawe, Leo Pete Edochie, ikieleza kuwa marehemu amefariki majira ya saa 12:30 alfajiri ya leo, huku familia ikieleza huzuni kubwa kutokana na kuondokewa na mpendwa wao ambaye alikuwa mume, baba, ndugu na jamaa. Pete Edochie alikuwa miongoni mwa waigizaji wenye ushawishi mkubwa katika tasnia ya filamu ya Nigeria, akijulikana zaidi kwa nafasi yake ya Okonkwo katika filamu ya Things Fall Apart iliyotokana na kitabu cha mwandishi Chinua Achebe. Mbali na uigizaji, marehemu pia alikuwa mtangazaji mkongwe na alitunukiwa heshima ya kitaifa ya Member of the Order of the Niger (MON) mwaka 2003, huku familia ikieleza kuwa taarifa za mipango ya mazishi zitatolewa baadaye.
Related stories
GeneralKITAMBAA CHEUPE WATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE MATATIZO YA MOYO JKCI
GeneralHAIJAWAHI KUTOKEA MPAKISTANI APELEKWA KITUO CHA ANGA CHINA
GeneralGwiji wa Nollywood Pete Edochie afariki dunia baada ya kuugua saratani ya tezi dume
FOLLOW KURASA ZETU ZA MITANDAO YA KIJAMII: Instagram
Mlambo-Ngcuka's final wish
Family, friends, and dignitaries gathered at a memorial service in Rivonia to celebrate the life and legacy of former South African deputy president Dr Phumzile Mlambo-Ngcuka.