VideoUpcoming
MWIGIZAJI MKONGWE WA NIGERIA PETE EDOCHIE AFARIKI DUNIA - FAMILIA YAELEZA KILICHOTOKEA...
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
MWIGIZAJI MKONGWE WA NIGERIA PETE EDOCHIE AFARIKI DUNIA - FAMILIA YAELEZA KILICHOTOKEA... Muigizaji mkongwe wa tasnia ya filamu nchini Nigeria (Nollywood), Pete Edochie, ameripotiwa kufariki dunia akiwa na umri wa miaka 77. Taarifa za kifo chake zimetolewa rasmi na familia kupitia mwanawe, zikieleza kuwa amefariki alfajiri ya leo. Pete Edochie alipata umaarufu mkubwa kupitia uhusika wake kama Okonkwo kwenye filamu maarufu ya "Things Fall Apart" ya Chinua Achebe, pamoja na filamu nyingine nyingi zilizomfanya kuwa gwiji wa filamu Afrika. Tazama taarifa hii kwa kina kufahamu maelezo zaidi kutoka kwa familia na historia fupi ya maisha yake. #PeteEdochie #Nollywood #GlobalTVOnline ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
GeneralKAMA HUNA HELA KILA MWANAMKE UNAMUITA SHEMEJI
GeneralSabato achukizwa na Ali Kiba kudai hawezi kupanda PRIVATE JET sababu anaogopa, si mpenzi wa Ndege
FOLLOW KURASA ZETU ZA MITANDAO YA KIJAMII: Instagram
GeneralKeNHA announces traffic changes at busy Nairobi interchange, issues alternative routes
KeNHA has announced a two-month closure of the Lower Kabete-Ndumbuini interchange, issuing alternative routes for motorists starting December 2026.
GeneralNaivasha MP aspirant Gaucho funds surgery for teen Nancy Wangui at KNH
Nancy Wangui, 17, from Naivasha awaits mucoperiosteal cyst surgery after Gaucho bought reconstruction plates and donated blood for her care at KNH in Nairobi.