RAIS William Ruto ameapa kutopeana mamlaka kwa kiongozi yeyote aliye upinzani kwa sasa akisema wote wamechanganyikiwa na hawana ajenga kwa nchi.
Rais Ruto amesema Upinzani wanatafuta kitu kimoja tu, yaani kumwondoa mamlakani bila mipango yoyote mahsusi kwa manufaa ya Wakenya na maendeleo kwa nchi.
Nimeona ajenda yao kuu ni ‘Ruto must go’. Hakuna kingine. Sasa, ‘Ruto must go’ itasaidiaje Wakenya wanaokumbwa na changamoto za matibabu, elimu na matatizo mengine? akauliza alipohudhuria ibada ya kanisa katika Shule ya Kivaywa, Lugari.
Ruto: Siwezi kuachia mamlaka kiongozi yeyote aliye upinzani kwa sasa
This story was originally published by Taifa Leo.
Read the full story at Taifa LeoRelated stories
EducationalKitui school gets new irrigation project as govt announces 7 more under KRISE programme
The government commissioned a micro-irrigation project at Kangalu School in Kitui County, benefiting 2,400 people as seven more projects are planned.
EducationalNyumbu kupata miundombinu bora ya shule
KIBAHA: MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Kibaha, Dk.Nicas Mawazo, ameahidi kushirikiana na Baraza la Madiwani pamoja na wataalamu wa halmashauri hiyo kuhakikisha miundombinu ya elimu katika Shule ya Sekondari na Msingi Nyumbu inaboreshwa, ili kuimarisha mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji. Ahadi hiyo ameitoa wakati wa ziara ya kutembelea na kukagua miundombinu ya shule hizo…
EducationalKenyan Form 4 boy shreds his trouser, shirt after finishing KCSE exams: “Amekafunga in style”
A Kenyan Form 4 student celebrated finishing the 2026 KCSE exams by cutting his school trousers into tassels in a viral video shared by Nairobi Juice online.
EducationalUniversity of America challenges NUC over illegal operations
By Ibrahim Hassan-Wuyo The National Universities Commission (NUC) and the University of America, Curaçao, have disagreed over the legality of the institution’s academic operations in Nigeria, with the commission warning prospective students against seeking admission into its programmes. The NUC had declared the institution’s operations in Nigeria illegal, alleging that it was admitting students, running […]