NAIBU Mkuu wa Wafanyakazi Ikulu na Mkuu wa Utekelezaji Miradi ya Serikali katika Afisi ya Rais Eliud Owalo amejiuzulu.
Katika chapisho kwenye kurasa zake za mitandaoni, Bw Owalo ambaye amekuwa mshirika wa karibu wa Rais William Ruto kutoka Nyanza anasema anataka kuwania urais, na kwa sababu hiyo, haingewezekana kwake yeye kuendelea kushikilia wadhifa huo.
Bw Owalo ni naibu wa Mkuu wa Wafanyakazi katika Afisi ya Rais Felix Koskei na ni mmoja wa wanasiasa kutoka Nyanza walioanza kufanya kazi na Rais Ruto mapema mno, hata kabla ya aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga kushirikiana na Rais kuunda Serikali Jumuishi.
Kujiuzulu huku kunatarajiwa kuibua hisia mseto hasa kuhusiana na muda ambao hatua hii inajiri, na hatima ya uhusiano wake na Rais Ruto na serikali yake.
Mwandani wa Ruto ajiuzulu, asema anataka kuwania urais 2027
Taifa Leo 1 min read

This story was originally published by Taifa Leo.
Read the full story at Taifa LeoRelated stories
NewsMAGAZETI NOV 21, 2026: SAMIA KATIBA MPYA ITAPATIKANA 2028/29
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
ITV Tanzania Video
NewsTinubu’s re-election campaign backed by visible evidence, not just promises — Oshiomhole
"The real campaign is not about promising what we will do. It is about showing what President Tinubu is already doing"
Vanguard News 1 min read
NewsTAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI: NOV 21, 2026
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
ITV Tanzania Video
News