Video
MFANYABIASHARA WA DHAHABU AFICHUA FURSA NZITO - "TUNAINGIA KWENYE UCHIMBAJI NA REFINERY GEITA"....
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
MFANYABIASHARA WA DHAHABU AFICHUA FURSA NZITO - "TUNAINGIA KWENYE UCHIMBAJI NA REFINERY GEITA".... Kampuni ya Kilosa Kwetu Trading Limited inayojihusisha na ununuzi, uuzaji na usafirishaji wa madini ya dhahabu nchi nzima na nje ya nchi (Dubai, India), imefichua mipango yake mipya ya kuanza uchimbaji pamoja na kujenga kiwanda cha kuchakata (CIP) na refinery mkoani Geita. Katika mahojiano haya, Khalfan Hamad Salum anaeleza fursa zilizopo kwenye sekta ya madini, ushirikiano wao na Benki Kuu ya Tanzania (BOT), pamoja na punguzo la asilimia 40 kwa wateja wa maduka yao ya sonara na vito vya thamani (Queens, Exotic, na Royal). #KilosaKwetu #BiasharaYaDhahabu #MadiniGeita #GlobalTVOnline ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
BusinessRAIS SAMIA APONGEZWA KUSAIDIA SEKTA YA MADINI
BusinessDavido kutoa Mamilioni vituo vya Mayatima na vijana wajasiriamali kwenye kumbukizi ya kuzaliwa kwake
FOLLOW KURASA ZETU ZA MITANDAO YA KIJAMII: Instagram
BusinessVIJANA NCHINI WAMPONGEZA RAIS SAMIA KUISADIA SEKTA YA MADINI.
BusinessMFANYABIASHARA WA DHAHABU ATOBOA SIRI KUBWA! - "TUNAJENGA KIWANDA CHA USAFISHAJI DHAHABU"...
MFANYABIASHARA WA DHAHABU ATOBOA SIRI KUBWA! - "TUNAJENGA KIWANDA CHA USAFISHAJI DHAHABU"... Mwakilishi wa kampuni ya Fregom Limited, Mason Kimbo Steven, akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Sekta ya…