Video
MFANYABIASHARA WA DHAHABU ATOBOA SIRI KUBWA! - "TUNAJENGA KIWANDA CHA USAFISHAJI DHAHABU"...
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
MFANYABIASHARA WA DHAHABU ATOBOA SIRI KUBWA! - "TUNAJENGA KIWANDA CHA USAFISHAJI DHAHABU"... Mwakilishi wa kampuni ya Fregom Limited, Mason Kimbo Steven, akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Sekta ya Madini jijini Dar es Salaam kuhusu namna kampuni yao inayomilikiwa na vijana wa Kitanzania kwa 100% inavyofanya mapinduzi katika sekta ya madini. Fregom Limited inajihusisha na ununuzi wa dhahabu, kuwezesha wachimbaji wadogo kitaalamu na kifedha, pamoja na ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kisasa cha kusafisha dhahabu (Gold Refinery) nchini Tanzania kwa viwango vya 99.9% #SektaYaMadini #DhahabuTanzania #FregomLimited #BiasharaYaMadini #GlobalTVOnline ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
BusinessNasarawa attracts $2.3bn investments in seven years — Abdullahi
Records 21 reforms, 11 PPP projects worth ₦93bn By John Alechenu ABUJA — Nasarawa State has attracted more than $2.3 billion in investments over the past seven years following reforms and institutional development aimed at making the state more competitive and investor-friendly. The Managing Director and Chief Executive Officer of the Nasarawa Investment and Development […]
BusinessObi pledges massive investment in education, healthcare
By Chimaobi Nwaiwu NNEWI — Presidential candidate of the Nigeria Democratic Congress (NDC), Peter Obi, has pledged massive investment in education and healthcare, improved electricity supply and an end to kidnapping if elected president in 2027. Obi, who made the pledge on Friday during a visit to Onitsha, Anambra State, also said his proposed administration, […]
BusinessBIMA YA AFYA KWA WOTE . JE, NINI HAKI NA WAJIBU KWA MAMLAKA, WATOA HUDUMA NA WAPOKEA HUDUMA?
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
BusinessNaira depreciates to N1,472/$ in parallel market
Data from the Central Bank of Nigeria, CBN, showed that the indicative exchange rate for the official market rose to N1,394 per dollar from N1388 per dollar on Thursday, indicating N6 depreciation for the naira.