Aliporudi tena ofisini kwake simu yake ikaita. Alipotazama namba inayompigia akaona namba za Mkurugenzi wa Upelelezi.