MASHINDANO ya Kitaifa ya Tamasha za Muziki yanayoendelea katika Chuo cha Walimu cha Meru yanazidi kutia fora huku mawasilisho mbalimbali yakisisimua wadau.
Mashindano ya mwaka huu yameonyesha ubunifu wa hali ya juu huku wanafunzi kutoka maeneo mbalimbali wakizidi kuonyesha umarufu na vipaji vyao.
Tazama mambo yanavyoendelea, kwa picha....
[caption id="attachment_176041" align="alignnone" width="1280"] Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Hill School kutoka Eldoret wapiga pozi katika Shule ya Upili ya Kaaga, Meru.[/caption]
[caption id="attachment_176042" align="alignnone" width="1600"] Wanafunzi wa Chuo cha Walimu cha Kamwenja Jukwaani.[/caption]
[caption id="attachment_176043" align="alignnone" width="1600"] Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Elegant Spur kutoka Ruiru.[/caption]
[caption id="attachment_176046" align="alignnone" width="1280"] Wanafunzi na walimu wa Shule ya Msingi ya Damacrest kutoka Kiambu wakisherehekea tuzo baada ya ushindi.[/caption]
[caption id="attachment_176047" align="alignnone" width="1204"] Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Kivaywa jukwaani. [/caption]
[caption id="attachment_176051" align="alignnone" width="1040"] Shule ya St Michael Shamusinjiri kutoka Ikolomani, Kakamega. PICHA ZOTE|TOBBIE WEKESA[/caption]
Mashindano ya Tamasha la Kitaifa la Muziki yaendelea kusisimua Meru
This story was originally published by Taifa Leo.
Read the full story at Taifa LeoRelated stories
EducationalKitui school gets new irrigation project as govt announces 7 more under KRISE programme
The government commissioned a micro-irrigation project at Kangalu School in Kitui County, benefiting 2,400 people as seven more projects are planned.
EducationalNyumbu kupata miundombinu bora ya shule
KIBAHA: MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Kibaha, Dk.Nicas Mawazo, ameahidi kushirikiana na Baraza la Madiwani pamoja na wataalamu wa halmashauri hiyo kuhakikisha miundombinu ya elimu katika Shule ya Sekondari na Msingi Nyumbu inaboreshwa, ili kuimarisha mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji. Ahadi hiyo ameitoa wakati wa ziara ya kutembelea na kukagua miundombinu ya shule hizo…
EducationalKenyan Form 4 boy shreds his trouser, shirt after finishing KCSE exams: “Amekafunga in style”
A Kenyan Form 4 student celebrated finishing the 2026 KCSE exams by cutting his school trousers into tassels in a viral video shared by Nairobi Juice online.
EducationalUniversity of America challenges NUC over illegal operations
By Ibrahim Hassan-Wuyo The National Universities Commission (NUC) and the University of America, Curaçao, have disagreed over the legality of the institution’s academic operations in Nigeria, with the commission warning prospective students against seeking admission into its programmes. The NUC had declared the institution’s operations in Nigeria illegal, alleging that it was admitting students, running […]