Video
"MAKONDA ALINIINI, NITAWANYAMAZISHA TAREHE 19" - LAMATA AFUNGUKA AFICHUA SIRI YA KAMBI YA MISS...
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
"MAKONDA ALINIINI, NITAWANYAMAZISHA TAREHE 19" - LAMATA AFUNGUKA AFICHUA SIRI YA KAMBI YA MISS... Mwandaaji wa mashindano ya Miss Tanzania, mwongozaji nguli wa filamu Lamata, amefunguka mazito wakati warembo 24 wakielekea kuingia kambini kwa siku 21 kuelekea fainali kubwa itakayofanyika tarehe 19 Desemba pale The Super Dome (Dar Village). Kwenye mahojiano haya ya kipekee na Global TV Online, Lamata ameweka wazi sababu za kufanya eneo la kambi kuwa siri nzito, huku akifafanua jinsi maisha ya warembo hao yatakavyorushwa hewani kama 'reality show'. Pia, amejibu wanaodai mashindano hayo yamejaa maigizo, akizungumzia mshiriki aliyetaka uigizaji badala ya umiss ambaye tayari amemuingiza kwenye filamu mpya kuanzia Januari, imani aliyopewa na Paul Makonda, pamoja na uwepo wa mastaa kama Kajala, Paula na Harmonize kwenye fainali hiyo. #MissTanzania #Lamata #GlobalTVOnline #MissTanzania #Lamata #GlobalTVOnline #KambiYaMissTanzania #Harmonize #PaulaNaKajala ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
GeneralAwka City chosen for AfDB -funded Action Plan for Africa’s coordinated urban development
By Vincent Ujumadu Awka, the capital city of Anambra State, has been selected for the African Development Bank, AfDB, – funded action plan for coordinated urban development in Africa. Under the programme, government would provide the policy direction, regulatory clarity, and institutional leadership, while development partners would support the mobilisation of technical expertise and catalytic […]
GeneralD Voice na Lulu Diva wafunga ndoa ya siri! Video zavuja, Afunguka haya mazito, Tazama hapa
FOLLOW KURASA ZETU ZA MITANDAO YA KIJAMII: Instagram
GeneralAGIZO LA MAKAMU WA RAIS LATEKELEZWA - MAMILIONI YA NSSF YALIPWA KWA WAFANYAKAZI KIRUMBA!
AGIZO LA MAKAMU WA RAIS LATEKELEZWA - MAMILIONI YA NSSF YALIPWA KWA WAFANYAKAZI KIRUMBA! Wafanyakazi wa mradi eneo la Kirumba wameeleza furaha na shukrani zao kufuatia kutatuliwa kwa changamoto ya…
General‘Five bullets’ — NDC supporter recounts attack on Omo-Agege’s campaign team in Delta
A supporter of the Nigeria Democratic Congress (NDC) has recounted how gunmen allegedly shot him five times during an attack on the campaign team of Ovie Omo-Agege, the party’s candidate for Delta Central, in Uduere, Ughelli North Local Government Area of Delta State.