Video
AGIZO LA MAKAMU WA RAIS LATEKELEZWA - MAMILIONI YA NSSF YALIPWA KWA WAFANYAKAZI KIRUMBA!
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
AGIZO LA MAKAMU WA RAIS LATEKELEZWA - MAMILIONI YA NSSF YALIPWA KWA WAFANYAKAZI KIRUMBA! Wafanyakazi wa mradi eneo la Kirumba wameeleza furaha na shukrani zao kufuatia kutatuliwa kwa changamoto ya michango yao ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) ambayo ilikuwa haijalipwa tangu mwezi wa nne. Kufuatia agizo lililotolewa na Makamu wa Rais wakati alipotembelea mradi huo na kusikiliza kero za wafanyakazi, hatua za haraka zilichukuliwa ambapo mkandarasi amelipa michango yote ya wafanyakazi inayofikia mamilioni ya shilingi. Fuatilia mkasa huu mzima jinsi agizo lilivyotekelezwa na hisia za wafanyakazi baada ya haki zao kupatikana. #GlobalTV #HabariMpya #Tanzania #NSSF #RaisSamia #MakamuWaRais #Kirumba ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
GeneralAwka City chosen for AfDB -funded Action Plan for Africa’s coordinated urban development
By Vincent Ujumadu Awka, the capital city of Anambra State, has been selected for the African Development Bank, AfDB, – funded action plan for coordinated urban development in Africa. Under the programme, government would provide the policy direction, regulatory clarity, and institutional leadership, while development partners would support the mobilisation of technical expertise and catalytic […]
GeneralD Voice na Lulu Diva wafunga ndoa ya siri! Video zavuja, Afunguka haya mazito, Tazama hapa
FOLLOW KURASA ZETU ZA MITANDAO YA KIJAMII: Instagram
General"MAKONDA ALINIINI, NITAWANYAMAZISHA TAREHE 19" - LAMATA AFUNGUKA AFICHUA SIRI YA KAMBI YA MISS...
"MAKONDA ALINIINI, NITAWANYAMAZISHA TAREHE 19" - LAMATA AFUNGUKA AFICHUA SIRI YA KAMBI YA MISS... Mwandaaji wa mashindano ya Miss Tanzania, mwongozaji nguli wa filamu Lamata, amefunguka mazito…
General‘Five bullets’ — NDC supporter recounts attack on Omo-Agege’s campaign team in Delta
A supporter of the Nigeria Democratic Congress (NDC) has recounted how gunmen allegedly shot him five times during an attack on the campaign team of Ovie Omo-Agege, the party’s candidate for Delta Central, in Uduere, Ughelli North Local Government Area of Delta State.