VideoUpcoming
KITENDAWILI! DARAJA LA MAMILIONI LAANZA KUBOMOKA KABLA YA KUTUMIKA
Channel: ITV Tanzania Watch on YouTube
About this video
#HABARI: Ujenzi wa daraja jipya lililojengwa kwa kutumia makontena katika Mto Kalembo, Kijiji cha Ibungu wilayani Ileje mkoani Songwe, upo hatarini kusombwa na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha baada ya kuanza kutitia kabla halijaanza kutumika. Daraja hilo linalounganisha kata zaidi ya nne limezua hofu ya kusababisha madhara makubwa kwa watumiaji pamoja na kukata mawasiliano ya usafiri baina ya kata hizo endapo halitachukuliwa hatua za haraka. Akikagua eneo hilo, Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Wilman Ndile, ameshangazwa na mtindo huo wa ujenzi wa kutumia makontena kwenye daraja kubwa lililokusudiwa kupitisha magari. Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : bit.ly/itvtanzania Facebook : bit.ly/2KeQNl3 Twitter : bit.ly/2XG7aii Instagram : bit.ly/34KItmg
Related stories
GeneralMotorpark takeover: Makinde directs security agencies to be vigilant
The government said it will not tolerate violence, intimidation, self-help or unlawful takeover of public facilities by any individual or group.
GeneralHATA TUKICHUKIANA AU KUPIGANA
HATA TUKICHUKIANA AU KUPIGANA #breaking #globaltv #raissamia #tanzania
GeneralZ’bar VP urges leaders to priotise public service
ZANZIBAR: ZANZIBAR’S First VicePresident, Othman Masoud Othman, has urged government leaders in Pemba to put aside political party interests and focus on delivering services to citizens, warning that negligence and abuse of authority undermine government development efforts. He said leaders entrusted with public responsibilities must demonstrate commitment, fairness and efficiency in carrying out their duties,…
GeneralTanzania, Kenya, Zambia expand access to oral health services at primary care level
JAPAN: TANZANIA Kenya and Zambia are bringing affordable oral health care closer to people. In Tanzania, government investment has raised the share of primary care facilities offering oral health services to 45 percent, from 7 percent in 2024. Zambia has trained 202 health workers in eight of its ten provinces and added two essential dental…