The government has scrapped collateral requirements and interest charges on its Sh200 billion youth development fund, with Sh52 billion already disbursed to young entrepreneurs, in a move aimed at expanding youth participation in productive sectors of the economy.
Government scraps collateral, interest on Sh200 billion youth fund

This story was originally published by The Citizen.
Read the full story at The CitizenRelated stories
News2027: Tinubu’s ‘Emi lo kan’ becomes ‘Awa lo kan’, says Lagos APC
According to the party, the Tinubu political project has evolved from the “Emi lo kan” declaration that preceded the 2023 presidential election to the emerging “Awa lo kan” sentiment ahead of 2027.
NewsFred Matiang’i names opposition leaders he cannot work with as cracks deepen
Fred Matiangi says he will only work with like-minded leaders, praising Ndindi Nyoro as divisions deepen in Kenya’s opposition ahead of the 2027 election race.
NewsSerikali yabanwa kuhusu uwazi wa madini ya Mrima
WAKAZI na viongozi wa jamii katika Kaunti ya Kwale wamepinga kutengwa katika mipango ya uchimbaji wa madini adimu na Niobium katika Mrima Hill, yanayokadiriwa kuwa na thamani ya Sh8 trilioni. Jamii hiyo imelalamikia kupata taarifa kuhusu uteuzi wa muungano wa kampuni za Amerika kuendeleza mradi huo kupitia vyombo vya habari, bila kushirikishwa katika maamuzi muhimu. Ingawa hawapingi uchimbaji, wakazi wanataka serikali iwashirikishe, ifanye tathmini ya kina ya athari za mradi kwa mazingira na jamii, na kuweka wazi namna mapato yatakavyogawanywa kati ya serikali ya kitaifa, kaunti na jamii husika. Alhamisi iliyopita, Waziri wa Madini, Hassan Joho, alitangaza muungano wa kampuni zilizoshinda zabuni ya kuendeleza uchimbaji huo. Kwa vizazi vingi, familia zinazoishi maeneo ya Mrima zimekuwa zikitegemea kilimo na ufugaji kujipatia riziki. Hata hivyo, sasa zinahofia kupoteza mashamba na maeneo ya malisho, kulazimishwa kuhama, mmomonyoko wa udongo na uchafuzi wa vyanzo vya maji. Aidha, kuna wasiwasi kuwa shughuli hizo zinaweza kuharibu maeneo ya kitamaduni na madhabahu yanayochukuliwa kuwa matakatifu na jamii. Mzee wa Kaya, Masudi Mwarezo, alisema jamii haijashirikishwa ipasavyo licha ya Katiba kutaka wananchi washirikishwe katika maamuzi yanayowaathiri. Alionya kuwa huenda wakazi wakanyimwa manufaa ya kiuchumi, kama walivyodai kutokea wakati wa shughuli za kampuni ya Base Titanium. Alitaja vijiji vitano vya Bumbuni, Herani, Mwabovo, Dzuni na Mwachanongo, vinavyojulikana kama Lango la Baraka, kuwa miongoni mwa maeneo yatakayoathiriwa. Mwarezo, ambaye ni mwenyekiti wa Mrima Hill Community Resource Trust, alisema mradi huo unaweza kuathiri madhabahu saba katika maeneo ya mlima huo na nyingine kuu iliyo katikati ya mlima. Kwa upande wake, Katibu wa Chama cha Misitu ya Jamii cha Mrima, Ayubu Suya, alisema tathmini ya athari za mazingira inapaswa kuzingatia pia taasisi na rasilimali za jamii. Alisema wazee wa Kaya wamebainisha rasilimali 32 za kitamaduni na kiasili, zikiwemo miti
News2027: Tinubu won’t be included in my national unity govt — Makinde
Makinde accused Tinubu of failing to replicate such an inclusive approach, alleging that the president's appointments were largely drawn from his political circle.