HAT-TRICK zimeendelea kuwa gumzo katika mechi za pili za hatua ya makundi ya Kombe la Dunia la FIFA U-17 Qatar 2026, huku Hispania ikiweka rekodi ya ushindi mnono baada ya kuichakaza Fiji mabao 15-0 katika mchezo wa Kundi H uliopigwa Uwanja wa Aspire Zone 4.