VideoUpcoming
HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55 - NOVEMBA 23, 2026
Channel: ITV Tanzania Watch on YouTube
About this video
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : bit.ly/itvtanzania Facebook : bit.ly/2KeQNl3 Twitter : bit.ly/2XG7aii Instagram : bit.ly/34KItmg
Related stories
NewsRuth Odinga backs Gachagua, agrees plans are underway to finish ODM
Kisumu Woman Representative Ruth Odinga has weighed in on concerns that rival political forces are being mobilised to erode ODM's grip on the Nyanza.
NewsEU boosts forest conservation in 17 councils
MOROGORO: THE European Union (EU)- funded forest conservation project has strengthened the capacity of 17 local government authorities across six regions of Mainland Tanzania to protect forest resources, improve law enforcement and promote sustainable forest management. The Integrated Approach for Transformation of Tanzania Fuelwood Value Chain (TFWVC) Project, which began in 2023 and is expected…
NewsSenate committee hails Air Peace over ₦80,000 military fare
By Henry Umoru ABUJA — The Senate Committee on Army has commended Air Peace and its Chairman, Dr Allen Onyema, for introducing a discounted one-way domestic air fare of ₦80,000 for serving and retired personnel of the Nigerian Armed Forces. The committee also urged other airlines and corporate organisations in the country to emulate the […]
NewsOmbi la kukagua ujenzi wa kanisa ikuluni lakataliwa
MASHIRIKA ya kutetea haki za binadamu yamekosa ruhusa ya kukagua eneo la Ikulu ya Nairobi, kufuatia madai kuwa ujenzi wa kanisa lenye thamani ya Sh1.8 bilioni unakaribia kukamilika licha ya agizo la korti la kusimamisha mradi huo. Jaji David Mburu alitupilia mbali ombi hilo, akisema mashirika hayo hayakuwasilisha ushahidi wowote wa kuhalalisha ukaguzi wa eneo hilo. Alisema mahakama haiwezi kutumiwa kufanya uchunguzi kwa niaba ya walalamishi. Mashirika hayo ni Transparency International Kenya, Tume ya Kutetea Haki za Kibinadamu, Inuka Kenya Ni Sisi na Taasisi ya Uwajibikaji wa Kijamii. Mashirika hayo yaliiambia mahakama kuwa yalipokea taarifa za ndani kwamba ujenzi wa kanisa hilo ulikuwa karibu kukamilika, hatua ambayo huenda ilikiuka agizo la mahakama la Agosti 26, 2025. Kesi hiyo iliwasilishwa Agosti 2025, mashirika hayo yakipinga mpango wa kujenga kanisa la kudumu katika Ikulu. Yalisema mradi huo unakiuka Katiba kuhusu kutengwa kwa masuala ya dini na utawala, matumizi ya ardhi na rasilimali za umma, usawa, uhuru wa kuabudu na ushirikishaji wa wananchi. Wakili wa walalamishi alisema duru za kuaminika ziliwaarifu kuwa kanisa hilo lilikuwa karibu kukamilika. Aliomba mahakama iruhusu ukaguzi kubaini iwapo ujenzi ulikuwa umeendelea licha ya amri iliyopo. Alisema walalamishi wangeondoa kesi hiyo iwapo kanisa lilikuwa limekamilika, lakini hawakuweza kupata ushahidi kwa kuwa Ikulu inalindwa na haifikiki kwa urahisi. Afisi ya Mwanasheria Mkuu ilipinga ombi hilo, ikisema lilitegemea uvumi usioambatana na hati ya kiapo au ushahidi wa barua. Hata hivyo, Taasisi ya Katiba iliunga mkono ukaguzi huo. Katika uamuzi wake, Jaji Mburu alisema wahusika wana wajibu wa kuwasilisha ushahidi wao. “Mahakama haiwezi kutumiwa kama chombo cha kukusanya ushahidi,” akasema akiongeza kuwa ukaguzi unapaswa kufafanua ushahidi uliowasilishwa, wala si kuziba mapengo katika kesi ya mlalamishi. Rais William Ruto alisema Julai 2025 kuwa alitaka kujenga kanisa la kudumu baada ya kupata sehemu ya kuabud