KOCHA raia wa Bulgaria, Dimitar Pantev amefikia makubaliano ya kuwa kocha mkuu mpya wa Richards Bay inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini.