KIGOGO wa Upinzani nchini Uganda Kizza Besigye alizirai Jumatano wakati akihudhuria kusikizwa kwa kesi yake jijinsi Kampala.
Besigye, 70, amekuwa akikabiliwa na mashtaka ya uhaini tangu kunyakwa na maafisa wa Uganda akiwa ziarani Kenya karibu miaka miwili iliyopita.
Alitiwa nguvuni pamoja na msaidizi wake Obeid Lutale Novemba 2024 jijini Nairobi.
Walikanusha mashtaka na mawakili wao wametaja mashtaka hayo kuwa yaliyochochewa kisiasa. Majaribio kadhaa ya kuwaachilia yamezimwa na utawala wa Rais Yoweri Museveni na mwanawe mkuu wa jeshi Jenerali Muhoozi Kainerugaba.
Besigye azirai akiwa kortini, atwaliwa na ambulansi na kuondolewa
Taifa Leo 1 min read

This story was originally published by Taifa Leo.
Read the full story at Taifa LeoRelated stories
NewsMAGAZETI NOV 21, 2026: SAMIA KATIBA MPYA ITAPATIKANA 2028/29
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
ITV Tanzania Video
NewsTinubu’s re-election campaign backed by visible evidence, not just promises — Oshiomhole
"The real campaign is not about promising what we will do. It is about showing what President Tinubu is already doing"
Vanguard News 1 min read
NewsTAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI: NOV 21, 2026
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
ITV Tanzania Video
News