VideoLive
AZIZ KI "NILIUMIA SANA KUKOSA DABI, NIMILWAMBIA INJINIA HAKUNA NAMNA KUONDOA ADHABU HII"
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
AZIZ KI "NILIUMIA SANA KUKOSA DABI, NIMILWAMBIA INJINIA HAKUNA NAMNA KUONDOA ADHABU HII" Mchezaji nyota wa Yanga SC, Stephane Aziz Ki, azungumzia hisia zake baada ya kukosa mchezo wa dabi, maendeleo ya Ligi Kuu ya NBC, pamoja na mabadiliko ya makocha ndani ya klabu ya Wananchi. Tazama mahojiano haya ya kipekee akieleza wazi ujumbe wake kwa Rais wa klabu, Injinia Hersi Said, na matarajio ya mashabiki msimu huu. #AzizKi #YangaSC #NBCPremierLeague #GlobalTVOnline ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
GeneralKipit Asset Management Appoints Mr. Luke Ofojebe, CFA, as Acting Managing Director
As part of its strategic positioning, Kipit Asset Management Limited (formerly Fortuna Capital Limited), a Securities and Exchange Commission (SEC) licensed Fund & Portfolio Management Company, has appointed Mr. Luke Ofojebe, CFA, as its Acting Managing Director, with effect from 20 November 2026. The appointment is subject to the approval and confirmation of the SEC. […]
GeneralALI KAMWE ATEMA NYONGO KUELEKEA KWENYE JAMBO LAO VISIWANI ZANZIBAR
GeneralSELFIE YA MAKAMU WA RAIS MHE.NDEJEMBI NA VIJANA
General