Na WANGU KANURI KAMPUNI ya Mastercard ikishirikiana na mtandao wa EatOut na kampuni ya vileo ya Singleton ilizindua kampeni ya kuonyesha vyakula aina aina katika baadhi ya hoteli jijini Nairobi. Kampeni hiyo iliyopagazwa ‘Taste of Nairobi’ imenuia kupiga jeki sekta ya hoteli licha ya kukumbwa na misukosuko iliyosababishwa na janga la corona. Masharti ya Wizara […]