PAUKWA: Ule mabaki ya watalii Kaburu ajue utakiona!

Taifa Leo
Published: Jan 16, 2023 05:27:09 EAT   |  Travel

ENOCK NYARIKI FOLENI ya watalii iliendelea kuongezeka kwenye sehemu ya mapokezi ya mbuga ya wanyama ya Maasai Mara. Kwingineko mbugani, shughuli zilienea moto mmoja. Shughuli za wapishi stadi walioandaa mapochopocho anuwai kwa ajili ya wageni. Shughuli za wafanyakazi wa Idara ya Upangaji waliopita na kupituka vyumba ili kuwaonyesha wageni hao mahali ambamo wangezilaza mbavu zao […]