NA SIAGO CECE CHEMCHEMI za Mwananyamala zilizoko Dzombo, Kaunti ya Kwale, kwa miaka mingi zimekuwa na mchango mkubwa katika utamaduni wa jamii ya Wamijikenda.Eneo hili la ekari 300 ambako wazee wa Kaya hufanya matambiko yao pia ni kivutio cha watalii kinachovutia wageni wengi.Hivi karibuni, chemchemi nne ndogo za majimoto zimepungua nguvu.Wenyeji sasa wana wasiwasi kuwa […]