Mabinti waanza kujitosa katika mchezo wa pool

Taifa Leo
Published: Nov 21, 2022 17:11:04 EAT   |  Travel

NA AREGE RUTH SHINDANO la ndani la ‘Base Yetu Pool’ ambalo lilifanyika mjini Kitale kaunti ya Trans Nzoia, linaendelea kuthibitisha kuwa Pool ni mchezo ulio wazi kwa wote bila kubagua jinsia. Walikuambia kuwa michezo ya Pool ni hifadhi ya wachezaji wa kiume pekee? Walikudanganya. Nancy Tenai kutoka Eldoret  ni mwanaspoti wa kike ambaye amedhihirisha kuwa, […]