NA JANET KAVUNGA MTWAPA, KILIFI UJANJA wa demu wa hapa wa kuwatapeli wanaume pesa baada ya kula uroda nao ulifikia kikomo baada ya kukutana na jombi mjanja kumliko. Kidosho huyo alikuwa ametafuna pesa za wanaume kwelikweli kwa kuwatisha wamlipe donge na hata kuwapora. Majuzi, alikutana na jombi katika hoteli moja hapa na akaamua kumpeleka kwake […]