
Category
Match reports, transfers and results from East African football and leagues worldwide, plus athletics, basketball and the biggest stories in global sport.


Man City were greeted with chants of "cheats" on their arrival at Anfield on Sunday to face Liverpool in their first game

Nottingham Forest boss Oliver Glasner was beaten on his return to Crystal Palace as Daichi Kamada's first Premier League goal inspired the Eagles' 3-1 win on Sunday.

DAR ES SALAAM: Simba SC claimed a hard-fought 2–1 victory over arch-rivals Yanga SC in a pulsating Kariakoo Derby at Uhuru Stadium yesterday, with Simba striker Elie Mpanzu earning the Player of the Match award in a fixture that once again showcased the passion, rivalry and excitement of Tanzanian football. The highly anticipated NBC Premier…



ZAIDI ya wakimbiaji 3,000 wanatarajiwa kushiriki mbio za Lake Victoria Marathon 2026 zitakazofanyika Novemba 15, mwaka huu, katika Uwanja wa Furahisha, Wilaya ya Ilemela, mkoani Mwanza, huku waandaaji wakilenga kuvuka rekodi ya washiriki 2,870 iliyowekwa mwaka jana.

MASHINDANO ya vijana ya Dar Youth Cup U-18 yameanza kwa kishindo wikiendi iliyopita kufuatia mechi za ufunguzi zilizopigwa Oktoba 10 kwenye viwanja vya Ufundi, Lugalo ikiwa ni msimu wa saba mfululizo yanafanyika.

KIUNGO mkabaji wa Mbuni FC ya jijini, Arusha, Said Juma ‘Makapu’ ameshonwa nyuzi tatu juu ya paji lake la uso, baada ya kugongana na mchezaji wa Gunners FC ya Dodoma, Issa Kinjumbi katika mechi ya Championship, iliyopigwa, Oktoba 2, 2026.

KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Awadh Juma ‘Maniche’ amewataka mashabiki wa timu hiyo kuwaunga mkono kama kawaida, licha ya kuingiwa na hofu zaidi, baada ya wachezaji wengi wa kikosi hicho kuondoka na kujiunga na klabu mbalimbali za Ligi Kuu.

KOCHA Mkuu wa IAA SC, Maka Mwalwisi amesema licha ya ugeni wa kikosi hicho kushiriki Ligi ya Championship msimu wa 2026- 2027, kwa mara ya kwanza, ila sio kigezo cha wao kufanya vibaya, kwa sababu wana wachezaji bora na wenye uzoefu mkubwa.

MSHAMBULIAJI wa JKT Queens, Bahati Steven amesema Opah Clement ni miongoni mwa wachezaji aliokuwa akiwafuatilia tangu anaanza maisha ya mpira na kutamani siku moja kufika alipo nahodha huyo wa Twiga Stars.

KIUNGO wa Simba Queens, Fasila Adhiambo amesema ana kazi ya kufanya msimu huu ili kuboresha kiwango chake na mwanzo wake katika mashindano ya Ngao ya Jamii haukuwa mzuri kama alivyotarajia.

KOCHA wa Mashujaa Queens, Rajabu Bwamkuu amesema uwepo wa wachezaji wenye uzoefu katika kikosi chake ni miongoni mwa mambo yanayoweza kuisaidia timu hiyo kuendelea kuwa na ushindani katika Ligi Kuu ya Wanawake msimu huu.

KIPA wa JKT Queens, Hawa Juma amesema ana ndoto ya kufikia ubora wa Naijat Abbas, akimtaja kipa huyo mfano anaotaka kujifunza kutoka kwake ili kuboresha uwezo wake uwanjani.

KIUNGO wa JS Kabylie ya Algeria, Alphonce Mabula amesema anatamani kuendeleza ari aliyoionyesha akiwa na Taifa Stars kwenye mechi za kufuzu Afcon 2027.

CHAMA la Mtanzania, Novatus Miroshi, Goztepe, lina kibarua kizito leo Oktoba 12 litakaposhuka dimbani kuvaana na Eyupspor katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uturuki, unaotarajiwa kuanza saa 2 usiku kwa saa za Tanzania, huku timu hizo zikiwa na changamoto ya kutafuta matokeo yatakayoziondoa kwenye nafasi za chini.

KIUNGO mshambuliaji wa AIK ya Sweden, Mohamed Shilla amerejea nchini humo baada ya kumaliza majukumu yake ya timu ya taifa ya Tanzania ya U-23, ambayo ilishindwa kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana hao (AFCON U-23) baada ya kutolewa na Kenya kwa jumla ya mabao 5-4.

MSHAMBULIAJI wa Washington Spirit, Clara Luvanga amesema kila anachokifanya kwenye ligi ya Wanawake ni rekodi kwake.

HATIMAYE vinara wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), Zimamoto, imepoteza mchezo wake wa kwanza kwenye ligi hiyo baada ya kucheza mechi sita bila kupoteza.

KAMISHNA wa Chuo cha Mafunzo, Kanali Khamis Bakari Khamis, amewatoa hofu mashabiki na wadau wa soka kuhusu mwenendo wa timu hiyo ambayo imekuwa ikipata matokeo mabaya katika Ligi Kuu Zanzibar msimu huu.

MSHAMBULIAJI wa timu ya New Stone Town, Khatib Mwinyi ameandika historia ya kufunga mabao matatu (ha-trick) katika Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Pemba.

KOCHA wa KMKM, Othman Hassan 'Kocha King', amesema ukosefu wa mapumziko kwa wachezaji baada ya kumaliza ligi ni moja ya changamoto zinazochangia kushuka kwa kiwango cha baadhi ya wachezaji Zanzibar.

Real Madrid forward Vinicius Jr has apologised to his teammates and the club’s supporters after being sent off in their 1-0 victory over Villarreal, with the Brazilian now facing a possible suspension that could rule him out of the upcoming El Clasico against Barcelona.

SHINYANGA: MRADI wa ujenzi wa barabara ya Kahama Manzese hadi Kakola, katika Kata ya Bulyanhulu, yenye urefu wa kilomita 73, unatarajiwa kukamilika mwezi Desemba mwaka 2026. Hayo yamesemwa na Msimamizi wa Mradi huo kutoka Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Marco Bee, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari waliotembelea eneo la mradi huo, ulioanza rasmi…

Manchester City face a hostile Anfield on Sunday when the Premier League leaders play bitter rivals Liverpool in their first game since being found guilty of breaking more than 100 financial rules.

Asked whether he gave his life to Christ, Sowore said the discussion did not take that direction, stressing that he was not involved in organised religion.

… As YEDI, Grassroot Soccer take mental health awareness to Mushin communityBy Chioma Obinna Concerned by the growing burden of mental health challenges among young people and widespread misconceptions surrounding the condition, health experts have called for early help-seeking, community-based interventions and stronger collaboration between health professionals, families and religious institutions.They spoke during a community […]

Paris Saint-Germain were comfortable 3-1 winners against Le Mans on Saturday before they look ahead to a tougher test away to Manchester City in the Champions League next week.

Yan Diomande earned Real Madrid a tight 1-0 victory over Villarreal on Saturday to keep them six points behind La Liga leaders Barcelona, even though winger Vinicius Junior was sent off for hair-pulling.

Dominic Solanke rescued a 1-1 draw for 10-man Tottenham to ramp up the pressure on Manchester United boss Michael Carrick on Saturday.

Anthony Gordon scored his first goal for Barcelona as the Spanish champions extended their perfect start in La Liga with a 3-0 win over Getafe on Saturday.

DAR ES SALAAM; ILE siku ambayo mashabiki wa Simba walikuwa wakiisubiri kwa hamu kuibuka na ushindi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Yanga ndo leo Oktoba 10, 2026. Simba 2 Yanga 1. Muda mfupi uliopita Simba imeiadhibu Yanga kwa mabao 2-1 mchezo wa kusisimua uliofanyika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Mabao…

KOCHA Steve Barker amefuta uteja wa Simba kwa Yanga baada ya kuiongoza timu hiyo kushinda mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

KIUNGO Feisal Salum ‘Fei Toto’ amemfurahisha kocha Florent Ibenge baada ya kuonyesha kutokata tamaa kwa kuifungia Azam bao la ushindi, hatua iliyorejesha kikosi hicho kwenye njia ya ushindi baada ya kupoteza dhidi ya Simba.

KISASI NI HAKI! ndivyo unavyoweza kusema baada ya Simba kuvunja uteja wa muda mrefu wa Yanga kwa kuifunga leo mabao 2-1, katika mechi ya Kariakoo Derby, iliyopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini, Dar es Salaam.

SINGIDA Black Stars imeamua kupitia tukio lililosababisha mshambuliaji wake, Jonathan Sowah, kuonyeshwa kadi nyekundu dhidi ya Dodoma Jiji FC huku Kamati ya nidhamu ya klabu hiyo ikitarajiwa kuamua hatua za kuchukua baada ya kutathmini mazingira ya tukio hilo.

US President Donald Trump on Saturday urged Ukraine to replace Volodomyr Zelensky with a new leader, lashing out at him for strikes on Russian oil refineries that have contributed to pre-election high diesel prices.

YANGA imepata mserereko wa mapema kabla ya kukutana na CFFA ya Madagascar katika hatua ya pili ya mchujo wa Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya wapinzani hao kuomba mchezo wao wa nyumbani uchezwe Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

SHIRIKISHO la Soka Kenya FKF limeipa Mombasa United ushindi wa mezani wa mabao 2-0 dhidi ya Kariobangi Sharks, uamuzi ulioifanya timu hiyo ya pwani kuwa mshindi wa jumla wa mchujo na kupata nafasi ya kucheza Ligi Kuu ya Kenya, msimu wa 2026/27.

NYERERE Cycling Tour 2026 imeendelea kuonyesha nafasi ya mchezo wa baiskeli katika kuchochea maendeleo ya jamii, huku Vodacom Tanzania Foundation ikiunganisha msafara huo na juhudi za kuboresha elimu, kuhifadhi mazingira na kuinua ustawi wa wananchi kupitia miradi ya kijamii.

TOFAUTI na hali inavyoonekana kwa jicho la kawaida, kwamba hakuna hekaheka kubwa katika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam, kunakosubiriwa kupigwa mechi ya Kariakoo Dabi, Simba ikiwa mwenyeji wa Yanga, kwa upande wa askari kazi si ndogo.

MWANZA; Mashindano ya riadha ya Lake Victoria Marathon yanatarajiwa kufanyika Novemba 15, mwaka huu, jijini Mwanza, yakilenga kuhamasisha utunzaji wa Ziwa Victoria, kuimarisha afya za wananchi na kuchangia juhudi za kupunguza vifo vya watoto njiti Kanda ya Ziwa. Mratibu wa mashindano hayo, Hilda Viggo, amesema msimu wa sita wa mashindano hayo, umejikita kuhamasisha utunzaji na…

Mikel Arteta said Arsenal had learned lessons from their "extremely average" performance at Brighton before the international break as they returned to winning ways against Leeds on Saturday.

YANGA imewasili katika Uwanja wa Uhuru saa 5:24 jioni, dakika mbili kabla ya watani wao wa jadi, Simba, waliofika saa 5:26 jioni kuelekea Dabi ya Kariakoo inayopigwa leo saa 1:00 usiku.

Arsenal roared back to beat Leeds 2-1 and pull level with Manchester City at the top of the Premier League on Saturday, hitting the ground running after the three-week international break.

KUSTAAFU kwa supastaa wa soka duniani Lionel Messi, katika timu ya taifa ya Argentina kumewaibua mastaa nchini, waliowahi kulitumia jina lake la pili kama a.k.a zao.

ZIMESALIA saa chache kabla ya Simba na Yanga kukutana kwenye Dabi ya Kariakoo, lakini hali ya Uwanja wa Uhuru ni tofauti na ilivyozoeleka siku za dabi, huku mashabiki waliofika wakionekana kuwa wachache na uwanja ukiwa bado mweupe.

MATENGENEZO yanayoendelea katika barabara ya Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, yamefanya magari kupaki mbali kidogo na uwanjani.

ISMAEL Changawa na Albert Njogu waliopewa nafasi ya kwanza na ya pili mtawalia, watakutana katika fainali ya wanaume ya mashindano ya tenisi ya Nellions Open hapo Jumamosi, Oktoba 10, 2026. Hiyo ni baada ya kutawala mechi zao za nusu-fainali katika Klabu ya Michezo ya Parklands mnamo Oktoba 9. Changawa, 30, alimpiga Liberty Kibue 6-4, 6-1, naye Njogu akimzidi maarifa Raymond Oduor 6-4, 7-6 katika mashindano yanayodhaminiwa na kampuni ya Nellions. Changawa alimshinda Njogu katika fainali ya mwaka jana 6-3, 3-6, 6-3. Hapo jana, Changawa alikiri kuwa uzoefu, uimara wa kiakili na kufahamu vizuri uwanja vilimsaidia kushinda dhidi ya Kibue, ambaye ni mwenzake katika timu ya taifa ya Davis Cup. Njogu alilazimika kujituma zaidi katika seti ya pili baada ya Oduor kurejea mchezoni, lakini alishinda kipindi cha mwisho cha kufungia matokeo (tie-break) na kufuzu fainali. Oduor atalimana na Kibue kuwania medali ya shaba. Katika upande wa wanawake, Felicia Ouko, 15, alimpepeta Bathsheba Ogamba 6-3, 6-3 na kuingia fainali. Atakabiliana na mshindi wa pambano kati ya Stacy Yego na Seline Ahoya ambaye ni Yego. Yego alimlemea Seline Ahoya 6-3, 6-2 katika nusu-fainali nyingine. Mashindano hayo ya siku nne yanashirikisha wachezaji 54 katika vitengo mbalimbali. Washindi wa fainali za wanaume na wanawake watapata Sh30,000 kila mmoja, nambari mbili Sh15,000, na washindi wa medali ya shaba Sh8,000. Wote waliobanduliwa katika robo-fainali watavuna Sh4,000. Makala haya ya pili yatafika kilele Jumamosi, Oktoba 9.