
Category
Match reports, transfers and results from East African football and leagues worldwide, plus athletics, basketball and the biggest stories in global sport.


KIPA wa Yanga, Hussein Masalanga, amesema hatakata tamaa licha ya ushindani mkubwa ndani ya kikosi hicho, akiamini kuwa bidii na kujituma mazoezini vitamwezesha kupata nafasi katika kikosi hicho.

BEKI wa kati wa zamani wa KenGold FC ya Mbeya, Amir Njeru, amekamilisha uhamisho wa kujiunga na FC Hantsindzi inayoshiriki Ligi Kuu ya Comoro, akisaini mkataba wa mwaka mmoja.

“We went through a crisis in which our net external reserves fell to about $3 billion at one point, despite having a population of over 200 million people. In addition, we had outstanding foreign exchange obligations of more than $7 billion.

KINDA wa Kitanzania, Barka Seif, anayecheza katika akademi ya FC Barcelona, La Masia, Hispania, ameendelea kung’ara baada ya kuchaguliwa katika kikosi bora cha wiki cha mashindano ya vijana ya Virgil Legacy Trophy.

BENCHI la ufundi la timu ya taifa ya wanawake, Twiga Stars, litaanza kuichambua Ethiopia kwa lengo la kubaini mbinu na mfumo wake wa uchezaji kabla ya timu hizo kukutana katika raundi ya tatu ya kuwania tiketi ya Olimpiki za Los Angeles 2028.

Msafara wa Baiskeli ya Nyerere (Vodacom Nyerere Cycling Tour) 2026 imehitimishwa Butiama baada ya waendesha baiskeli kukamilisha safari ya kilomita 1,450 kutoka Bagamoyo, ikiunganisha michezo na juhudi za kuboresha maisha ya jamii zilizopo kando ya njia waliyopita.

Antonio Conte has indicated his willingness to take over as Manchester United head coach should the club decide to part ways with Michael Carrick, according to a report by talkSPORT.

ZIMBABWE: Zimbabwean writer Simbarashe Kundizeza has denied using artificial intelligence (AI) to write his short story, which won this year’s Caine Prize for African Writing. His statement comes a week after he scooped the £10,000 ($13,000) award and a recent article in The Atlantic said AI-detection software Pangram had shown his work about a boy…

Manchester United defender Lisandro Martinez said "anger and frustration" at defeat to Atletico Madrid led to his swipe at the club's board for a lack of investment in the transfer market.

Diri had expressed disappointment with Duke’s earlier claim that constructing the highway through Bayelsa would be impracticable because of the state’s swampy terrain.

DAR ES SALAAM: Simba imetangaza rasmi ratiba ya michezo yake miwili dhidi ya FC 15 de Agosto ya Guinea ya Ikweta katika raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), huku mechi zote zikitarajiwa kuchezwa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Ratiba hiyo imetangazwa na Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, leo…

"The fans have to boo me because I'm here to score goals against their teams, but I don't understand the referees, because I've seen a statistic that says I get 500 fouls for five red cards and I don't know how many yellow cards, and the yellow cards are always for Vini. I don't understand. We have to defend the players who do things differently, like Lamine at Barcelona or Julián at Atlético," he said.

DAR ES SALAAM: SIMBA Head Coach Steve Barker has lauded his side’s attacking sharpness after they thrashed Mashujaa 6-1 in a Mainland Premier League match at Uhuru Stadium in Dar es Salaam on Tuesday. Barker said the performance reflected a positive run of form, with his forwards continuing to deliver goals and assists ahead of…

TANZANIA: THE Uhuru Torch is one of the most revered national symbols of Tanzania. It is much more than just a historical artifact as it represents freedom, enlightenment, unity, hope and peace. Its history is deeply intertwined with the struggles for independence and nation-building under the founding father, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. The idea of…

DAR ES SALAAM: Warembo 15 wanatarajiwa kushindania taji la Miss Temeke 2026, huku washiriki watano watakaofanya vizuri wakipata nafasi ya kuiwakilisha wilaya hiyo katika mashindano ya Miss Dar es Salaam yanayotarajiwa kufanyika Novemba 12, mwaka huu. Fainali za Miss Temeke 2026 zimepangwa kufanyika Oktoba 31, mwaka huu, katika Ukumbi wa Mbaruku Mwandoro, viwanja vya Maonesho…

By Rosemary Iwunze Stakeholders in the insurance and pension sectors have urged operators to deploy funds raised through recapitalisation to improve services, develop innovative products and strengthen customer confidence. They made the call in Lagos during a panel discussion at the 11th Annual Conference of the Nigerian Association of Insurance and Pension Editors (NAIPE). The […]

Uamuzi wa kurusha shilingi umeifanya timu ya Taifa ya Tanzania ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ‘Serengeti Boys’ ikose nafasi ya kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana wa umri huo (AFCON U-17) 2027.

Ecclesia Hills Church has concluded plans to address the subtle and overt bondages prevalent among believers, saying Jesus Christ can put an end to them. Pastor Moses Ida-Michaels said many people carried the name of Christ yet remained bound by religion, fear, habits, financial pressure and generational patterns. However, Ida-Michaels said the upcoming gathering would […]

Real Madrid scored three late goals to overturn a two-goal deficit and secure a dramatic 4-3 victory over Roma in the UEFA Champions League on Jose Mourinho’s return to the Stadio Olimpico.

Reigning champions Paris Saint-Germain staved off a second-half comeback to win 4-2 away to Manchester City in their Champions League showdown on Wednesday.

Real Madrid forward Vinícius Júnior has been handed a four-match suspension after pulling an opponent’s hair during his side’s 1-0 victory over Villarreal on Saturday.

Bradley Barcola silenced his critics as the Liverpool forward ended his goal drought with a hat-trick in a chaotic 6-3 win against LASK in the Champions League on Wednesday.

Manchester United are reportedly considering Brighton and Hove Albion manager Fabian Hurzeler, former Germany coach Julian Nagelsmann and Antonio Conte as potential replacements for Michael Carrick if the club decides to part ways with its current manager.

The National Youth Service Corps (NYSC) may suspend the posting of corps members to Cross River State after its Director-General expressed dissatisfaction with the dilapidated state of the scheme's permanent orientation camp in Obubra.



WAKATI timu nne zikihaha kusaka ushindi wa kwanza Championship, nyingine mbili zimeonekana kuwa na rekodi ya kipekee zikicheza mechi tano bila kupoteza na kujiweka katika nafasi nzuri kuwania kupanda Ligi Kuu.

KOCHA wa Polisi Tanzania, Mbwana Makata, amesema kikosi chake kipo tayari kupambana na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, akiamini kina uwezo wa kurejea kwenye matokeo mazuri baada ya kupoteza dhidi ya Mashujaa.




Lisandro Martinez’s future at Manchester United is in doubt following his public criticism of the club’s hierarchy over its transfer strategy, according to Sky Sports.

Manchester United are considering disciplinary action against defender Lisandro Martinez following his public criticism of the club's hierarchy after their 2-0 defeat to Atletico Madrid in the UEFA Champions League.

Deleted records have revealed that British Prime Minister Andy Burnham had two hospitality dinners with Manchester City chairman Khaldoon Al Mubarak while serving as mayor of Greater Manchester.

KOCHA Msaidizi wa timu ya Mlandege, Sabri China amesema ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kipanga umerudisha motisha na kujiamini kwa wachezaji hivyo anaahidi kuichakaza KMKM.

MARA; Wachezaji 81 kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Malawi wanatarajiwa kushiriki mashindano ya gofu yanayoanza Alhamisi ya Octoba 15, 2026. Akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 14, katika eneo la Fort ikoma pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa Serengeti, Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA, Massana Mwishawa, amesema mradi wa ujenzi wa uwanja…

DODOMA: THE Minister for Constitution and Legal Affairs Abdallah Ulega has directed authorities to continue inspecting remand facilities and prisons across the country to identify and address case-related challenges, reduce overcrowding and ensure eligible suspects are granted bail in accordance with the law. Ulega issued the directive during an introductory meeting at the National Prosecutions…

The chair of English football's Independent Regulator has said he expects Manchester City's appeal after being found guilty of more than 100 breaches of Premier League financial rules to be heard by January.

Fulham manager Alvaro Arbeloa has been fined £25,000 ($33,000) by England's governing Football Association after he claimed officials would "not let Manchester United lose".

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, anaamini soka la Zanzibar na Tanzania litapiga hatua kubwa kupitia ushirikiano baina ya miamba ya soka duniani, Real Madrid na taasisi ya Unicorn Zanzibar Sports Limited ya Zanzibar.

MADRID: THE Zanzibar President and Chairman of the Revolutionary Council, Dr Hussein Ali Mwinyi, has said the partnership between the Real Madrid Foundation and Unicorn Zanzibar Sports Limited will create opportunities for young people in Zanzibar to develop their football talents, build discipline and strengthen their values through training that meets international standards. Dr Mwinyi…

Barcelona forward Lamine Yamal has emerged as the leading contender for the 2026 Ballon d’Or, moving ahead of Bayern Munich striker Harry Kane in the latest power rankings.

DAR ES SALAAM: Vyama vya Akiba na Mikopo (SACCOS) vimetakiwa kuhakikisha mikopo inayotolewa inawawezesha wanachama kukuza biashara, kuongeza kipato na kuboresha maisha yao. Katibu Mtendaji wa Shirikisho la Vyama vya Akiba na Mikopo Tanzania (SCCULT 1992 LTD), Hassan Mnyone, amesema SACCOS zinapaswa kutoa huduma za kifedha zinazokidhi mahitaji ya wanachama na kuchochea maendeleo ya uchumi.…

Tanzania is targeting $41.06 million in funding under the ninth replenishment cycle of the Global Environment Facility (GEF-9) to support environmental conservation and climate change initiatives.

By Miracle Onyemuwa The rising cost of smartphones in Nigeria is forcing more consumers to repair damaged devices rather than replace them with new ones. This is more so, as inflation and the depreciation of the naira continue to push phone prices higher. At Computer Village, Ikeja, phone repair shops are seeing increasing numbers of […]

Atletico Madrid eased to a 2-0 win over Manchester United in the Champions League on Tuesday to pile pressure on Red Devils coach Michael Carrick.

Simba imeendeleza moto wake ikifanikiwa kuichapa kwa kipigo kikali cha mabao 6-1 Mashujaa FC huku wekundu hao wa Msimbazi wakiendelea kujikita juu ya msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Salami said the commission was intensifying preparations in logistics, personnel deployment, election security, voter education and accessibility.

The chairman of English football’s Independent Football Regulator (IFR), David Kogan, has vowed to resign if he faces political interference over the future of Manchester City amid the club’s appeal against findings that it breached Premier League financial rules.