Follow the East African economy: markets and currencies, trade and investment, banking and finance, agriculture, mining and the companies and policies that move them.
WAZIRI wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen ametaja ukahaba ambao ni biashara ya tangu jadi kuwa miongoni mwa sakata ambazo zimekumba jiji la Eldoret na maeneo mengine ya North Rift. Akihutubia wanahabari pembeni mwa kikao cha Jukwaa la usalama Bw Murkomen alijutia kuwa walaghai wengi hutumia visivyo ukarimu wa wenyeji ndio maana visa vya sakata mbalimbali ikiwemo ukahaba vinazidi kuongezeka kila uchao katika jiji la Eldoret. Bw Murkomen alisababisha kicheko alipotaja ukahaba kuwa miongoni mwa sakata ambazo zinatatiza wenyeji wa jiji hilo la tano nchini. “Eldoret ni jiji lenye utajiri mwingi ndio maana watu wengi wanatumia hali hiyo kushiriki ulaghai mbali mbali ikiwemo sakata ya ajira ughaibuni, masomo pomoja na ile biashara ya tangu jadi ambapo wanawake wanatumia nafasi hiyo hasa msimu wa kuvuna kulaghai wanaume pesa zao walizozipata kwa jasho,” alisema Bw Murkomen huku washiriki wakiangua kicheko. Waziri huyo aliwataka wakaazi wa maeneo hayo kuwa macho ili kujiepusha na walaghai ambao wamevamia jiji hilo. Hata hivyo, aliwataka maafisa wa usalama kuimarisha msako dhidi ya walaghai na kuhakikisha kuwa wamefikisha mahakamani. Kuhusu uchunguzi unaoendelea wa ulanguzi wa viungo ambapo hospitali ya Mediheal jijini humo inahusisha na sakata hiyo, Bw Murkomen alielezea matumaini ya ukweli kuhusu sakata hiyo kupatikana baada ya uchunguzi kukamilika. Waziri huyo alitaja sakata hiyo kuwa miongoni mwa sakata ambazo zinaletea jiji hilo sifa mbaya. “Tusiingilie suala hilo la ulanguzi wa viungo linalofungamana na hospitali ya Mediheal kuhusu sakata ya biashara ya viungo ambalo limo mikononi mwa waziri mwenzangu, hata hivyo ulanguzi huo ni miongoni mwa sakata ambazo zifanya Eldoret kuwa kitovu cha sakata na ulaghai, "Hapa ndiko kuna sakata ya masomo, ajira ughaibuni, mashamba miongoni mwa sakata nyingine. Kwa sasa uchunguzi kuhusu sakta ya viungo unaendelea na hivi karibuni wahusika watakbiliwa kisheria,” alisema Bw Murkomen. Jiji la Eldoret limekuwa maarufu kwa sakata na ulaghai mbalimblai huku vitengo vya usalama vikimulikwa kuhusiana na kuenea kwa sakata hizo.
The largest US carmaker by sales said it expects the tariff impact to worsen in the third quarter and stuck to a previous estimate that trade headwinds threaten to hit the bottom line by $4bn (R70.20bn) to $5bn (R87.75bn).
HATUA ya Tanzania kuzikumbusha na kuzihimiza nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuhusu umuhimu wa kuimarisha mikakati ya kukabili changamoto za usalama ni ya kupongezwa na imekuja wakati muafaka. Katika dunia ya leo, uhalifu wa kimataifa na kikanda kama uhalifu wa mtandao, usafirishaji haramu wa binadamu, biashara ya dawa za kulevya…
The latest report from the National Bureau of Statistics, NBS, has revealed that Nigeria’s Information and Communication Technology, ICT, sector recorded a robust 31.63 percent year-on-year growth in nominal terms in the first quarter of 2025.
A roster system that allows for family time and adequate rest periods is a priority for pilots, the Solidarity trade union says as it prepares to meet FlySafair in a mediation process.
Effect of education on the process of Independence Prior to the coming of the missionaries to Nigeria and other African countries the continent had become a major attraction for explorers and merchants who were in search of new frontiers for trade. Eventually the scramble for Africa began ultimately culminating in the colonisation of Africa by the […]
The Joint Health Sector Unions and Assembly of Healthcare Professional Associations (JOHESU/AHPA) has expressed full support for recent positions taken by the Nigeria Labour Congress (NLC) and the Trade Union Congress (TUC), warning its members to prepare for possible industrial action over ongoing policy violations and unresolved issues in the health sector.
A planned five-day junior doctors’ strike in England will go ahead this week, their trade union announced on Tuesday, saying health minister Wes Streeting had not gone far enough in negotiations over pay and conditions.
The Vice-President, Alhaji Kashim Shettima, has expressed worry over data and information gap between the National Bureau of Statistics (NBS), states and local government areas. Shettima said this at the 2025 Workshop of the Chartered Institute of Stockbrokers (CIS) on Tuesday in Abuja. Shettima was represented by Dr Tope Fasua, the Special Adviser to the […]
DAR ES SALAAM: UWEKEZAJI wa serikali kwenye sekta ya mifugo kwa kutoa ruzuku ya chanjo na utambuzi wa mifugo utasaidia kupatikana kwa ithibati ya kufanya biashara ya mifugo na mazao yake kwenye masoko ya ndani na ya kimataifa kutoka Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH). Hayo yamebainishwa juzi na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya…
President Bola Ahmed Tinubu has called on African nations to take control of the pricing and trade of their natural resources, stating that the continent must no longer remain a “price taker.” The president made this declaration in a statement posted via his verified X (formerly Twitter) account on Tuesday. The remarks come as Nigeria […]
*As NBS unveils rebased GDP figures for 2020 to 2024 By Babajide Komolafe,Economy Editor The National Bureau of Statistics, NBS yesterday said that the nation’s economy grew by 3.13 per cent in the first quarter of 2025, following the rebasing of the Gross Domestic Product, GDP using 2019 as the base year. This growth represents […]
The Federal Government has reaffirmed its commitment to implementing the National Single Window (NSW) initiative—an integrated trade facilitation platform aimed at plugging revenue leakages, enhancing transparency, and improving the efficiency of international trade processes.
Kampuni ya kutengeneza chakula ya hapa nchini imeshughulikia mahitaji yanayoibuka ya vyakula vilivyotayari kuliwa kwa kusindika nafaka za kiamsha kinywa zilizopikwa kwa teknolojia ya kisasa na salama, shayiri, na unga ulioboreshwa uliopikwa tayari ambao unalingana na ubora wa lishe. Teknolojia hii mpya imeiweka kampuni ya Proctor & Allan (EA) Company Ltd katika nafasi ya kipekee nchini na ukanda wa Afrika Mashariki kutengeneza nafaka za kiamsha kinywa zilizosindikwa kwa teknolojia ya kisasa. Tekinolojia hii inahusisha mchakato wa usindikaji chakula unaojumuisha kupika awali mchanganyiko wa vyakula vilivyosagwa kwa ubunifu ili kupata bidhaa tayari kuliwa. Kwa mujibu wa kampuni hiyo, kuna ongezeko la tabaka la kati la familia nchini Kenya na ukanda mzima, zinazoangazia bidhaa za vyakula vilivyotayari kuliwa na vya urahisi. Hali hii inachangiwa na mitindo ya maisha inayobadilika kutokana na kupungua kwa mapato ya ziada na mashindano ya muda kwa shughuli nyingi, hali inayopunguza muda wa kupika na kula. Mkurugenzi wa Proctor & Allan EA Ltd, Stephen Nthei, aliambia Taifa Leo gazeti kwamba kampuni hiyo inalenga sehemu kubwa zaidi ya soko la nafaka za kiamsha kinywa zilizo tayari kuliwa, kwa kutumia teknolojia ya kisasa ili kutoa vitafunio kwa familia zaidi ya nafaka za kawaida za asubuhi. Bw Nthei alisema pia kuwa bidhaa hizo zitatolewa kupitia njia zao za kawaida za soko na zitawapa wanunuzi chaguo zaidi. Kiwanda hicho cha kisasa kilitolewa na kampuni ya Bühler Group kutoka Uswizi kama sehemu ya mpango wa kisasa wa kampuni hiyo ili kutoa bidhaa za ubunifu. “Familia kwa sasa zinazingatia kupata mlo kwa muda mfupi iwezekanavyo, kwa kuhamisha mzigo wa kupika kwa wingi na gharama kwa mtengenezaji, hatua inayopelekea kuwepo kwa vyakula vilivyotayari kuliwa vinavyotengenezwa kiwandani. Wakenya wengi na Waafrika kwa jumla sasa wanatumia nafaka za kiamsha kinywa na mlo uliopikwa tayari wenye virutubisho vilivyoimarishwa, ambavyo si rahisi kupatikana katika chakula cha kawaida kwa huduma ya mara moja,” alisema Mkurugenzi Nthei, akiongeza kuwa, “Mahitaji ya vyakula vilivyotayari kuliwa na nafaka zinazofaa kwa matumizi ya muda wote yamekuwa yakiongezeka sambamba na kupanda kwa hadhi ya Kenya kuwa nchi ya kipato cha kati, mabadiliko ya mitindo ya maisha, na mkazo wa nchi kuelekea usindikaji wa kilimo na mwelekeo wa kiuchumi wa Nunua Kenya Jenga Kenya.”
The National Bureau of Statistics (NBS) has revealed a significant 41.7% surge in Nigeria’s nominal GDP for 2019, following a comprehensive rebasing exercise that updates the base year for calculating the country's economic output.
The S&P 500 and the Nasdaq reached new record highs on Monday, bolstered by gains in megacaps as investors geared up for the week’s major tech earnings, while the prospects of fresh trade deals also boosted sentiment.
The trial of Mr Sirajo Jaja, the Accountant-General (AG), Bauchi State, and a Bureau de Change (BDC) Operator, Aliyu Abubajar, was on Monday, stalled at the Federal High Court in Abuja. The matter, which was fixed for the commencement of trial by Justice Obiora Egwuatu on the last adjourned date, could not proceed due to […]
HALI ya baridi imeathiri afya na uchumi wa wananchi wa Mkoa wa Njombe. Baridi katika mkoa huo inaongeza magonjwa yanayohusiana na mazingira ya baridi na imeathiri baadhi ya biashara ikiwemo ya bodaboda Kaimu Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji wa Njombe, Dk Jagadi Ntugwa alisema kipindi cha baridi husababisha kupungua kwa kiwango cha unywaji wa…
In an era when attention is currency and information is weaponised, the media is more than just a messenger; it’s the mirror through which a society sees itself. But what happens when that mirror cracks, bends, or worse, becomes a funhouse that distorts rather than reflects? This column, The Media Lens, is about clearing that glass. Let’s begin with a confession: the media in Tanzania, and globally, is under pressure. Some of it is economic. Some of it is political. Much of it is digital. The advertising model that once sustained independent journalism is crumbling. Newsrooms are shrinking. Reporters are expected to do more with less. And in the race to go viral, fact is often sacrificed at the altar of speed. But beyond these structural realities lies a deeper concern public trust. A recent Afro barometer survey showed that while many Tanzanians still rely on traditional media for news, trust in that media has declined. The reasons are not hard to find. At times, we see headlines shaped by power, not truth. Some stories are buried, while others are inflated. The line between editorial and advertorial is increasingly blurry. And citizen voices, especially from rural or marginalised communities, often remain unheard. We must ask: is our media serving the public interest, or protecting private ones? Are we informing, or are we pacifying? Are we giving voice to the voiceless, or only echoing the loudest? As someone who has spent over a decade navigating the newsroom trenches chasing deadlines, negotiating editorial integrity with commercial pressures, and witnessing both courage and compromise I believe it’s time to talk about the media, inside out. Not to blame, but to build. Not to shame, but to shape. That’s the goal of The Media Lens a column that will look critically at how media narratives are formed, whose stories get told, whose don’t, and what that means for our democracy, development, and dignity. This is especially urgent now. Tanzania is changing. Our population is young, digitally savvy, and increasingly vocal. Social media is no longer a fringe space it’s a battleground of ideas, influence, and misinformation. Whats App forwards reach further than most newspapers. Ticktock videos now compete with prime time bulletins. In this noise, the role of credible, courageous journalism is not just to inform, but to navigate. We need media that interrogates, not just reports. That explains, not just describes. That connects dots, not just quotes people. Because beneath every headline is a pattern of power, of money, of silence. And journalism, at its best, is about helping the public see those patterns. Take, for example, the coverage of youth unemployment. We often see statistics, political promises, or occasional human-interest stories. But how often do we connect that to the education system? To digital access? To gender inequality? To the global economy? Good journalism doesn’t just count the unemployed; it questions the system that produces them. Or look at climate change arguably the most pressing issue of our time. Coverage is often technical, donor-driven, or event-based. Yet, Tanzanian farmers, fishers, and informal traders are on the front line. Where are their voices? Where is the sustained, localised coverage that connects policy to people? There are, of course, bright spots. Courageous journalists who go beyond the press release. Editors who push back against spin. Media houses investing in fact-checking, in-depth reporting, and regional stories. But they need support from the public, from policy, and from within the profession itself. So here’s what you can expect from this column every Monday: honest, researched, sometimes uncomfortable reflections on media practice and impact. We’ll critique coverage. Spotlight media innovation. Amplify missing voices. And ask the hard questions even when the answers are inconvenient. I welcome disagreement, debate, and dialogue. Because the media belongs to the public and if we’re going to fix the mirror, we need more than journalists. We need citizens who care about how their stories are told. Who ask, “Why is this news?” and “What’s missing here?” Who hold both politicians and publishers to account. The pen remains mighty but only if we sharpen it with purpose. Welcome to The Media Lens.
*Expert calls for bold reforms to revive sector By Yinka Kolawole Importation of textile products into Nigeria rose astronomically by 297.8 percent within five years to N726.18 billion in 2024 from N182.53 billion in 2020. Data obtained from the National Bureau of Statistics (NBS) shows that textile imports have risen consistently from 2020 when it was N182.5 […]
By Peter Egwuatu The stock market consolidated its positive trend as investors gained over N3.4trillion despite trading for only four days as the public holiday in honour of the late former president, Mohammadu Buhari, took a day off the trading week. Specifically, market capitalisation, which represents the value of stocks listed on the Nigerian Exchange Limited, […]
“While other nations are busy forming alliances, signing trade deals, and securing investment agreements, Nigeria is missing from the table because we have no high-level diplomats abroad.’’
An expert in mining and the Founder and Group Chief Executive Officer of Brookfield Group Holdings, Oluwaseun Olatunji, has disclosed strategies to leverage the net worth of mining to facilitate the trade of minerals, particularly gold bars, in international markets.
KATIKA maisha ya ndoa au uhusiano wa kimapenzi, si kila siku huwa ya furaha na tabasamu. Kuna nyakati ambapo hali huwa ngumu, majaribu huzuka, na mioyo hushikwa na mashaka. Katika nyakati hizo, jambo moja dogo linaweza kuleta tofauti kubwa: hakikisho kutoka kwa mpenzi wako. Hakikisho ni ile sauti ya upole inayomwambia mwenzi wako, “Bado niko hapa. Nakupenda. Sikutoroki.” Na mara nyingi, hakikisho linahitajika si kwa sababu mtu hajui, bali kwa sababu anahitaji kusikia tena. Kumhakikishia mwenzi wako kunaweza kuokoa na kuimarisha uhusiano wenu. “Watu wengi huachwa na wapenzi wao wanapopoteza chanzo cha mapato iwe ni kazi, biashara au fedha. Wengi huingiwa na hofu ya kuachwa. Kwa upendo, mhakikishie mtu wako, mwambie mapato yake si sababu ya wewe kuwa naye. Ni yeye unayethamini. Katika hali hiyo, hakikisho huwa tiba ya hofu isiyoelezeka,” asema Judy Kwamboka, mwanasaikolojia na mtaalamu wa masuala ya mahusiano. Anasema kila uhusiano hupitia migogoro. Lakini hata mnapogombana, ni muhimu kumwambia mwenzi wako kuwa tofauti zenu hazibadili msingi wa upendo wenu. “Mwambie ingawa tumetofautiana kwa sasa, bado ni wewe niliyechagua. Na bado niko hapa.”Mabadiliko ya mwili, aeleza Kwamboka, huja kwa sababu nyingi kama vile ujauzito, ugonjwa, ajali au hata umri. Katika nyakati hizo, mwenzi wako anaweza kuhisi kutovutia au kukosa thamani. Hapo ndipo unapohitajika kumwambia kwako, yeye angali sawa na mabadiliko hayabadili namna unavyompenda.Watoto wanapofanya makosa, mzazi mmoja anaweza kuonekana kana kwamba ndiye wa kulaumiwa. “Usimwache ahisi hivyo peke yake. Mwambie: “Hili si kosa lako. Tuko pamoja. Hatutakata tamaa na watoto wetu.”“Kuna wakati mchumba wako anahisi wivu au kutokuwa salama kutokana na mahusiano yako na marafiki au familia. Huu si wakati wa kumlaumu mchumba wako, bali wa kumtoa hofu. Mwambie wewe si wa kushindana na yeyote. Nafasi yako moyoni mwako haijaguswa,” asema Kwamboka. Kulingana na mtaalamu wa masuala ya mapenzi Jane Muthoni, kila mtu hufanya makosa. Lakini makosa hayo yasipokabiliwa kwa upendo, huweza kuvunja kabisa uhusiano. “Ukiumia, sema ukweli wako lakini pia ongeza hakikisho: Ndiyo, nimeumizwa. Lakini sijakata tamaa. Bado nakutaka.Hilo peke yake huweza kumfanya ajutie kwa dhati na kubadilika,” asema Muthoni. Kuna nyakati mchumba wako atauliza maswali yanayohitaji hakikisho: “Bado unanipenda?” “Bado nakuvutia?” Maswali haya yasiwe chanzo cha kero. Ni mlango wa ukaribu zaidi. Yajibu kwa moyo wako wote, anasema.Mshauri huyu anatahadharisha watu dhidi ya kukemea wachumba wao wakijikwaa wakati wa shughuli chumbani. “Si kila wakati wa shughuli chumbani huwa kamilifu. Kuna nyakati mambo hayaendi kama ilivyotarajiwa. Badala ya kumkosoa au kumbeza, mpe mwenza wako hakikisho: Sawa. Haimaanishi kuwa hatupendani.Mahusiano ya kweli yanajengwa katika uelewano, si ukamilifu.Katika kila ndoa au uhusiano, asema Muthoni, hakikisho ni kama mbolea kwenye mmea wa upendo. Hauhitaji kusubiri matatizo ndipo uanze kusema, “Ninakupenda.Sema hivyo kila wakati. Sema hasa wakati ambapo moyo wa mchumba wako unaumia. Mhakikishie yeye ndiye wako na wewe ni wake,” asema.
Nabii Yohana, anayejiita nabii na kudai kuwa na nguvu kutoka kwa Mungu, huenda sasa anapaswa kuombea kijiji chake cha Nandolia katika Wadi ya Bukembe Magharibi, Kanduyi, Kaunti ya Bungoma. Nandolia, kijiji kilichokuwa na shughuli nyingi miaka ya 1970 wakati kampuni ya Nzoia Sugar ilipoanzishwa, sasa kimetulia na kimekuwa kimya na kujawa na kutu. Kutu hiyo ya rangi ya kahawia imeenea katika paa za maduka kandokando ya barabara, mashine zilizotelekezwa, matrekta, na trela kwenye kiwanda cha Nzoia Sugar. Kiwanda cha Nzoia Sugar ambacho kilianzishwa miaka ya 1970 kilileta uhai kijijini humo na kusababisha shughuli nyingi za kiuchumi. 'Ni Nzoia Sugar iliyowezesha watu wa huku kujenga nyumba za mabati na kusomesha watoto wao,' asema Saulo Busolo, aliyekuwa mwenyekiti wa Bodi ya Sukari ya Kenya ambaye sasa ni mkulima. Leo hii, baada ya kiwanda hicho cha serikali kuporomoka, kijiji kimekuwa kimya. Albert Kimoli, mshonaji viatu, ametumia miaka 15 iliyopita kushonea viatu wafanyakazi wa Nzoia Sugar. Lakini baada ya kampuni hiyo kufuta kazi asilimia 70 ya wafanyakazi wake kutokana na matatizo ya kifedha, biashara imeyumba sana. 'Hapo zamani, wateja walikuwa wakirudi haraka kuchukua viatu vyao,' asema. 'Siku hizi, wateja hawarudi kabisa.' Hali ni sawa katika vijiji vilivyo karibu na viwanda vya sukari vya serikali vilivyo katika hali mbaya, na kusababisha miji kuporomoka katika ukanda unaokuzwa miwa. Hali hii inaonekana katika mji wa Mayoni karibu na kiwanda cha Mumias Sugar, Muhoroni na Chemelil katika Kaunti ya Kisumu, na pia Sony katika Kaunti ya Migori. Unapofikiria kuhusu sekta ya sukari, labda unawaza mashamba ya miwa. Lakini athari zake zinasambaa katika uchumi mzima wa eneo hilo. Kiwanda kimoja cha sukari hakisagi miwa tu. Kinaajiri maelfu ya watu — kutoka kwa wafanyakazi wa kiwandani hadi maafisa wa mashambani. Halafu kuna wakulima, wengi wao wakiwa ni wakulima wadogo, wanaotegemea malipo ya miwa kulisha familia zao, kulipa karo na kuendeleza biashara ndogo ndogo. Dereva wa lori anayesafirisha miwa, wachuuzi wa vyakula kandokando ya barabara, maseremala na wauzaji wa pembejeo — wote hutegemea sekta hii. Wakati kiwanda kinafanya kazi, pesa huzunguka. Vijiji vina uhai. Miji midogo hustawi. Sasa fikiria kile kinachotokea wakati mfumo huu unapovunjika — kiwanda kikifungwa kwa sababu ya usimamizi mbaya au uhaba wa miwa. Athari zake haziishii kwa wafanyakazi wa kiwanda. Jamii nzima huathirika. Chukulia mfano wa Mayoni, karibu na Mumias Sugar katika Kaunti ya Kakamega — mji mwingine uliofifia katika ukanda wa miwa. 'Mayoni, mji ule ulioupita ukija, zamani ulikuwa kama London ya eneo hili,' asema Saulo Busolo. Tulipowasili Mayoni siku ya Jumatatu alasiri, nusu ya maduka yalikuwa yamefungwa. Mbali na shamba kubwa la miwa, moshi ulionekana ukifuka kutoka Mumias Sugar. Lakini moshi huo haukuleta matumaini wala kupunguza hasira za vijana wa eneo hilo, wengi wao wakidai mwekezaji mpya, Sarrai Group, hajawasaidia wenyeji kupata ajira. Mayoni Bar & Restaurant, anakumbuka Ramadhan Wataka Otembo mwenye umri wa miaka 65, lilikuwa jengo la kwanza la ghorofa katika Mumias nzima. Zamani, baa hiyo ilikuwa maarufu sana, na iliwavutia wageni kutoka maeneo mbalimbali, kwa mujibu wa Otembo. 'Lakini siku hizi ukienda huko, utakuta watu wanakunywa uji na mandazi tu,' asema. Wakati wa utawala wa Booker Tate — kampuni ya kimataifa iliyosimamia Mumias Sugar — kampuni hiyo ilitenga ekari nne kutoka shamba lake la ekari 8,700 kujenga vibanda vya jua kali kwa wenyeji. 'Vyote hivyo sasa vimesahuliwa watu wanaishi ndani badala ya kuvitumia kufanyia kazi,' asema Moses Malala, mwenyekiti wa Soko la Mayoni.
Solidarity trade union, which represents two-thirds of pilots at domestic airline FlySafair, has said that its pilots will go on a two-week strike next week.
Since its advent years ago, online trading has witnessed explosive growth, driven by the increasing digitalization of financial services, the democratization of access, and growing interest in alternative investments.
Toyota and Hyundai may have a beef with US protectionism, but they have one thing in common with President Donald Trump: when it comes to global car markets, it's America first for Asia's legacy carmakers.
SOKO la Kariakoo si tu eneo la kijiografia; ni injini ya kiuchumi na nguzo muhimu ya shughuli za kibiashara nchini Tanzania. Likiwa na historia ndefu iliyobadilika kutoka kambi ya kijeshi hadi kuwa kitovu kikuu cha biashara, Kariakoo inawakilisha uwekezaji wa kimkakati wa serikali katika miundombinu ya kibiashara. Ukarabati na ujenzi mpya wa soko hilo ambao…
WADAU katika sekta ya pombe wamekosoa vikali mapendekezo mapya ya Mamlaka ya Kudhibiti Matumzi ya Dawa za Kulevya (Nacada) wakiyataja kuwa yaliyo na uwezo wa kusambaratisha biashara zao. Wakizungumza wakati wa mkutano wa pamoja Nairobi, Mwenyekiti wa Shirikisho la Wamiliki Baa na Mikahawa Michael Muthami alisema kwamba mapendekezo ya Nacada hayana mashiko ya kisheria. “Sijaona amri yoyote wala sheria ya kuhimili mapendekezo haya. Nacada haiwezi kuamka tu siku moja na kuanzisha kanuni mpya,” akasema Bw Muthami akiongeza kwamba tayari kuna sheria za kutosha kuhusu matumizi salama ya pombe ila kilichokosekana ni utekelezaji wake. Miongoni mwa kanuni zilizopendekezwa na Nacada ni kukweza umri wa kunywa pombe kutoka 18 hadi 21, kuharamisha mauzo ya pombe karibu na shule, maeneo ya kuabudu na mitaani. Lililoonekana kukera zaidi wasanii na watumbuizaji ni pendekezo kwamba wanamuziki na watu mashuhuri wasiruhusiwe kutangaza vileo, jambo ambalo litakatizia wasanii wengi mbinu ya kujikimu. Kanuni hizo mpya ni sehemu ya mapendekezo yaliyoko katika sera mpya ya Kitaifa kuhusu Matumizi Mabaya ya Pombe na Mihadarati ya 2025. Sera hiyo inalenga kudhibiti changamoto ya uraibu wa pombe na mihadarati ambayo imevuruga familia kadhaa na kupunguza kasi ya maendeleo kitaifa. Kulingana na takwimu za hivi punde kutoka kwa Nacada, karibu asilimia 13 ya Wakenya wenye umri kati ya miaka 15 na 65 (karibu watu milioni 4.7 ) hunywa pombe. Idadi kubwa wa waraibu wa vileo hivyo ni vijana wenye umri wa kati ya miaka 18 na 24. Ajabu ni kwamba karibu mwanafunzi mmoja kati ya 10 wanaosomea shule za upili walikubali kwa wamewahi kutumia pombe huku umri wa wanaotumia vileo kwa mara ya kwanza ukipungua kila mwaka. Isitoshe, watoto wenye umri wa mwaka mdogo wa kati ya miaka sita na tisa pia wanashawishiwa kunywa pombe manyumbani mwao na majirani. Kero la unywaji pombe na madhara yake ni wazi kote nchini; kuanzia mijini hadi mashambani.
Minister of trade, industry and competition Parks Tau says the framework deal South Africa submitted to the US proposes concessions like liquefied natural gas investment and auto exemptions from tariffs.
The airport is also aligned with the African Continental Free Trade Area (AfCFTA) framework, facilitating the free movement of goods, services and people across the continent.
•As investors gain N3.5trn By Peter Egwuatu The stock market maintained a positive outcome and outlook at close of trading last weekend, driven essentially by positive macroeconomic factors, declining rates in fixed income market instruments as well as market sentiments. Consequently, the Nigerian Exchange Limited, NGX, closed higher for the seventh consecutive week with gains recorded […]
The Tripartite Free Trade Area (TFTA) Agreement officially entered into force on 25 July 2024, having reached the required 14 ratifications by Member and Partner States.
The crypto market is filled with surprises. Every few months, a new token catches attention, goes viral, and leaves traders wondering whether it’s the next big thing or just a passing trend. Pump Fun is one of those tokens currently making waves. With a fast-growing community and strong social media buzz, the question now is […]
…Says economic hardship affecting churches …Commends Tinubu on forex stability, infrastructure, and security By Dayo Johnson, Akure The Archbishop of Ondo Ecclesiastical Province and Bishop of Akure Diocese, Most Revd Simeon Borokini, has raised concerns over the worsening economic hardship in the country, saying it is taking a toll not just on individuals and families […]
Compared with last January projections, global trade growth for 2025 has been revised down by roughly 1.3 percentage points, with nearly all country groups experiencing downward adjustments.
DODOMA: Wanawake wamehamasishwa kujitokeza kwa wingi kushiriki na kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kifanyika mwezi Oktoba mwaka huu ili kutimiza haki yao ya kidemokrasia. Wito huo umetolewa jijini Dodoma na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu, Wizara ya Fedha, Fauzia Nombo, wakati akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo,…
President Donald Trump on Saturday targeted Mexico and the European Union with steep 30 percent tariffs, dramatically raising the stakes in already tense negotiations with two of the largest US trading partners.
Ukachukwu and his running mate Senator Ekwunife of APC are going into the battle of wrenching power from Governor Soludo and his running mate, Dr Ibezim, of APGA
Commercial drivers, commuters, and traders at Mile 12 market pursued brisk business, defying the 6:00 a.m. movement restrictions imposed by the police for Saturday’s local government polls in Lagos.
IRINGA: Wakati saa zikikimbia usiku wa manane, sauti ya watu ilizidi kujaa taharuki na vilio katika soko la Mashine Tatu mjini Iringa. Moto mkubwa, ulioanza ghafla, uliibuka kama radi ya ghafla na kufunika ndoto na matumaini ya mamia ya wafanyabiashara wa mji huo. Katikati ya giza la saa nane usiku, wingu la moshi lilianza kupaa…
Indian High Commissioner to Tanzania, Mr Bishwadip Day, attributed the growth to ongoing diplomatic engagement and reforms that have enhanced the ease of doing business.
DODOMA: The Director General of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB), Crispin Chalamila, has warned Tanzanians against the evils of corruption, saying it is one of the major obstacles hindering humanity and justice. He said corruption contributes to the emergence of other oppressive acts that go against the Tanzanian constitution. Chalamila made the…
The Federal High Court in Abuja has dismissed the N500 million suit filed by some vulnerable FCT residents, including scavengers, beggars, petty traders, against the Minister, Nyesom Wike. Justice James Omotosho, in a judgment, held that the suit filed by their lawyer, Abba Hikima, to enforce their fundamental rights, lacked merit. Justice Omotosho held that […]