WHO imesema Ebola bado ni changamoto na inahitaji rasilimali nyingi.
Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus,alisema Jumatano kwamba hadi kila maambukizi yatakapobainika na kukatizwa, ugonjwa huo utaendelea kuwa hatari DRC, nchi jirani na eneo lote.
Idadi ya waliofariki kutokana na mkurupuko huo imevuka 3,000, kwa mujibu wa takwimu za serikali, huku ugonjwa huo ukiendelea kuenea kaskazini-mashariki mwa nchi hiyo.
Mkurupuko huo, unaosababishwa na aina ya kirusi cha Ebola cha bundibugyo, sasa ndio mkubwa na wenye vifo vingi zaidi katika historia ya DRC na imezidi mkurupuko uliotokea mnamo na 2018–2020.
Tedros alisema vifo vingi vimetokea miongoni mwa watu ambao hawakuwa kwenye orodha ya waliokuwa wamewasiliana na wagonjwa, hali inayoashiria kuwepo kwa maambukizi mengi ambayo hayajulikani.
Alisema mazishi yasiyofanywa kwa njia salama pia yanaendelea kuchangia kuenea kwa virusi hivyo.
WHO imeomba kuongezwa kwa fedha za mpango wa kukabiliana na Ebola unaoongozwa na serikali ya Congo, unaohitaji dola bilioni 1.3 (Sh168 bilioni).
WHO imetuma tani 320 za vifaa na kuongeza uwezo wa vipimo hadi 3,000 kwa siku, lakini inahitaji fedha zaidi kuongeza vitanda katika vituo vya matibabu.
WHO yataka juhudi za kukabiliana na Ebola DRC ziharakishwe

This story was originally published by Taifa Leo.
Read the full story at Taifa LeoRelated stories
NewsAfenifere demands prosecution of sponsors of campaign violence
…Raises alarm over rising attacks ahead of 2027 elections By Adeola Badru The pan-Yoruba socio-political organisation, Afenifere, has raised the alarm over increasing political violence ahead of the 2027 general elections, calling for the arrest and prosecution of perpetrators and their sponsors. The organisation warned that the growing incidents of thuggery, intimidation and inflammatory political […]
NewsPHOTOS: First Lady calls for continued investment in children at UNICEF anniversary
First Lady Jeannette Kagame has called for sustained investment in the education, healthcare opportunities for children to ensure no one is left behind due to poverty, disability,...
NewsFirst Lady calls for continued investment in children at UNICEF anniversary
First Lady Jeannette Kagame has called for sustained investment in the education, healthcare opportunities for children to ensure no one is left behind due to poverty, disability,...
NewsObi woos Onitsha voters, promises jobs, better services
…Says Nigeria needs energetic president By Vincent Ujumadu The presidential candidate of the Nigeria Democratic Congress (NDC), Peter Obi, on Friday drew a large crowd in Onitsha, Anambra State, as he led members of his campaign team on a roadshow and town hall meeting in the commercial city. Obi began his visit with a stop […]