Video
WATUHUMIWA 112 WAKAMATWA NA POLISI TABORA
Channel: ITV Tanzania Watch on YouTube
About this video
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limefanya operesheni maalumu ya usiku na mchana kwa muda wa siku 30, iliyohusisha misako pamoja na doria za miguu, magari na mbwa, na kufanikiwa kuwakamata watuhumiwa 112 wa makosa mbalimbali yakiwemo ya kijinai. Katika operesheni hiyo, watuhumiwa 17 kati ya waliokamatwa wanadaiwa kukutwa na kilogramu 200 pamoja na kete 500 za dawa za kulevya aina ya bangi, huku madereva 12 wakifutiwa leseni zao kutokana na makosa ya usalama barabarani. RADIO ZETU KWENYE VING’AMUZI: Radio One: Azam 061, Digitek 110, Capital Radio: Azam 383, Digitek 112, Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV. #ITVDigital #ITVUpdates ITVTanzania Follow @itvtz @radioonetanzania @itv2tanzania
Related stories
NewsTinubu’s NYSC certificate: Court dismisses Atiku, ADC application
A Federal High Court in Abuja has dismissed an application by former Vice-President Atiku Abubakar and the African Democratic Congress (ADC) seeking to amend their suit challenging President Bola Tinubu's eligibility for the 2027 presidential election over his National Youth Service Corps (NYSC) discharge certificate.
NewsMany feared dead as overloaded boat capsizes in Bayelsa
By Samuel Oyadongha, Yenagoa Many passengers are feared dead after a cargo boat conveying more than 300 persons capsized in the riverine area of Southern Ijaw Local Government Area of Bayelsa State on Friday. The ill-fated vessel was reportedly travelling from Anyama Ijaw to Ukubie community when the incident occurred between 12 noon and 1pm. […]
NewsKagame, MTN Group boss discuss Rwanda’s digital economy, AI opportunities
President Paul Kagame met with Ralph Mupita, the chief executive officer of MTN Group, on Friday, November 20, at Village Urugwiro. The two leaders discussed MTN Rwanda’s opera...
NewsPolice vow to arrest attackers of Segun Odegbami
By James Ogunnaike, Abeokuta The Ogun State Commissioner of Police, Bode Ojajuni, has ordered an immediate investigation into the attack on former Super Eagles captain and sports administrator, Chief Segun Odegbami, assuring him that those responsible would be arrested and prosecuted. Ojajuni gave the assurance when he visited Odegbami at his residence in Abeokuta to […]