Video
"WANAFUNZI WANABEBA VILEVI MIFUKONI" - RAIS SAMIA ATOA AGIZO KWA IGP NA MAMLAKA YA DAWA ZA KULEVYA
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
"WANAFUNZI WANABEBA VILEVI MIFUKONI" - RAIS SAMIA ATOA AGIZO KWA IGP NA MAMLAKA YA DAWA ZA KULEVYA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo mazito kwa Jeshi la Polisi chini ya IGP pamoja na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA). Akizungumza kuhusu changamoto zinazoikabili jamii, Rais Samia ameonesha kusikitishwa na tabia ya baadhi ya wanafunzi wanaoingia na vilevi mashuleni kwenye mifuko ya sare zao. Aidha, amesisitiza ukamilishaji wa mradi wa kamera za barabarani (Safer Cities), utoaji wa elimu ya usalama barabarani, na udhibiti wa nidhamu ndani ya jeshi la polisi. #RaisSamia #JeshiLaPolisi #HabariTanzania ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
EducationalKenyan Form 4 boy shreds his trouser, shirt after finishing KCSE exams: “Amekafunga in style”
A Kenyan Form 4 student celebrated finishing the 2026 KCSE exams by cutting his school trousers into tassels in a viral video shared by Nairobi Juice online.
EducationalUniversity of America challenges NUC over illegal operations
By Ibrahim Hassan-Wuyo The National Universities Commission (NUC) and the University of America, Curaçao, have disagreed over the legality of the institution’s academic operations in Nigeria, with the commission warning prospective students against seeking admission into its programmes. The NUC had declared the institution’s operations in Nigeria illegal, alleging that it was admitting students, running […]
EducationalTaraba varsity ASUU suspends strike conditionally
By Femi Bolaji JALINGO — The Academic Staff Union of Universities (ASUU), Taraba State University (TSU) Branch, has conditionally suspended its ongoing industrial action with immediate effect, paving the way for the resumption of academic activities. The union announced the decision in a statement issued on Friday and signed by its Branch Chairman, Dr Joshua […]
EducationalUpofu yamfungulia Jamila ‘scholarship’
IRINGA: CHANGAMOTO ya kupoteza uwezo wa kuona aliyokutana nayo Jamila Abdallah Nkomwa mwaka 2017, akiwa mwanafunzi wa mwaka wa pili katika Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE), haikumaliza ndoto zake za elimu, badala yake imekuwa mwanzo wa fursa mpya iliyomfungulia milango ya kuendelea na masomo na ajira. Jamila, ambaye baada ya kukumbwa na changamoto hiyo…