Video
"TUTAWASAKA NA TUTAWAKAMATA" - TANI 12 ZA MBEGU FEKI KUTOKA ZAMBIA ZANASWA - ONYO KALI LATOLEWA...
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
"TUTAWASAKA NA TUTAWAKAMATA" - TANI 12 ZA MBEGU FEKI KUTOKA ZAMBIA ZANASWA - ONYO KALI LATOLEWA... Serikali kupitia Task Force ya Wilaya ya Songea imefanya operesheni maalum katika Soko Kuu la Songea na kufanikiwa kumkamata mfanyabiashara wa kampuni ya Jacko Limited akiwa na tani 12.7 za mbegu feki zisizothibitishwa zenye thamani ya zaidi ya Shilingi milioni 106. Inadaiwa mbegu hizo ziliingizwa nchini kutoka Zambia kupitia mpaka wa Tunduma kabla ya kusafirishwa hadi Songea. Serikali imetoa onyo kali kwa wafanyabiashara wote wa pembejeo wanaojihusisha na uhujumu uchumi, ikisisitiza kuwa watakaokamatwa watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. #MbeguFeki #Songea #GlobalTVOnline #HabariZaKilimo #KilimoTanzania ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
GeneralDiri’s kinsmen declare support for Dickson, NDC
By Henry Umoru ABUJA — Political stakeholders and members of the Nigeria Democratic Congress (NDC) from Kolokuma/Opokuma, the constituency of Bayelsa State Governor Douye Diri, have declared support for the party’s National Leader, Senator Seriake Dickson, and his political leadership. The delegation, comprising NDC candidates, stakeholders and party members from Kolokuma/Opokuma and Yenagoa Federal Constituency, […]
General
General‘I won’t disappoint you in my second term’ – Adeleke assures Osun people
“I won't disappoint Osun people. I will deliver even more than my first term. I am hopeful our financial situation will soon improve with the expected resolution of the local government crisis. We will take good care of workers and all segments of the society," the governor was quoted as saying.
GeneralUNICEF, Lagos raise alarm over threats to children’s rights
…As children demand free education, protection, greater say in policies By Chioma Obinna The United Nations Children’s Fund (UNICEF) and the Lagos State Government have called for stronger protection of children’s rights, warning that their welfare and fundamental rights are increasingly under threat and require concrete government action. The call was made on Friday during […]