Video
TRUMP - "2027 NDIYO NITAAMUA KUISHAMBULIA IRAN AU LA - SINA HARAKA" - ISRAEL YASUKUMA MASHAMBULIZI..
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
TRUMP - "2027 NDIYO NITAAMUA KUISHAMBULIA IRAN AU LA - SINA HARAKA" - ISRAEL YASUKUMA MASHAMBULIZI.. Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi kuwa hana haraka ya kufanya uamuzi wa kijeshi dhidi ya Iran, akibainisha kuwa atasubiri hadi kuanza kwa mwaka 2027 kabla ya kuchukua hatua yoyote. Kauli hii inajiri huku kukiwa na shinikizo kutoka kwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, anayedaiwa kuitaka Marekani kuingia vitani. Katika video hii, tunachambua kauli za Trump, mashaka yaliyoibuka ndani ya utawala wake, na sababu za kisiasa zinazoweza kuwa zinasukuma msimamo wa viongozi wa Israel kuelekea mzozo huu wa Mashariki ya Kati. #DonaldTrump #Iran #Israel #GlobalTVOnline #HabariZaKimataifa ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
InternationalCall for EAC bloc to enhance its defence strategies against cross-border threats
KAMPALA: EAST African Community (EAC) member states have been urged to review and strengthen their defence strategies to address emerging security threats, particularly those that transcend national borders. The call was made during a meeting of the EAC Consultative Committee on Defence Cooperation held in Kampala, Uganda, on November 19, 2026, where participants stressed the…
InternationalMamdani unveils plan to close New York’s Rikers Island by 2032
The plan would replace the jail complex with four smaller jails and reduce the number of people behind bars.
InternationalIndian man sentenced to 19-plus years in plot to assassinate US-based Sikh separatist leader
Nikhil Gupta pleaded guilty to murder-for-hire, conspiracy to commit murder-for-hire, and conspiracy to commit money laundering in February.
InternationalUK to explore even closer ties with EU after agreeing deal, says Burnham
The UK-EU deal agreed on Friday covers British food exports, emissions trading and a youth experience scheme.