A Bomet County father is accused of killing his seven-year-old son and four-year-old daughter. Police probe whether online aviation lottery losses were a factor.
Tragedy as Bomet man allegedly kills two children while his wife is away marking exams

This story was originally published by Tuko.
Read the full story at TukoRelated stories
NewsDC Lugangira enlists Arumeru Muslim leaders to fight gender violence
ARUSHA: MUSLIM religious leaders in Arumeru District have pledged to use mosques and religious teachings to educate communities and strengthen the fight against gender-based violence, particularly rape and sodomy against children. The commitment was reached after District Commissioner Neema Lugangira met with Islamic leaders under the Muslim Council of Tanzania (BAKWATA), representing 115 mosques across…
News2027: Why Nigerians should prefer me to Obi-Kwankwaso – Makinde
Makinde cited the historic alliance between the Southwest and North, his experience in governance, youthful energy and plans for national unity as key advantages of his candidacy.
NewsKavonokya, dhehebu linalonyima waumini wake wa kike usemi
WANAWAKE ni wengi katika makanisa ya Kavonokya lakini hawana nafasi kubwa ya kutoa maoni yao. Wanatakiwa kufunika vichwa kwa vitambaa vinavyoziba masikio na kuvaa magauni marefu yenye mikunjo. Kujipodoa, kucha bandia na urembo wa kisasa haviruhusiwi. Hata wanapotaka kutoa maoni yao kanisani, wanawake wanapaswa kuyawasilisha kupitia waume zao. “Mwanamke wa Kavonokya anayetaka kutoa hoja kanisani hawezi kufanya hivyo moja kwa moja. Anapaswa kuitoa kupitia mumewe,” anasema Mulyungi Ndithya, mhubiri katika kanisa la Kavonokya karibu na mji wa Mwingi, Kaunti ya Kitui. Viongozi wa madhehebu hayo pia wanawataka wanaume kuwaoa wanawake wanaoshiriki imani hiyo ili kuilinda dhidi ya ushawishi wa dini zingine. Hata hivyo, masharti kuhusu ndoa, matumizi ya dawa za hospitalini na kupiga kura yamewafanya baadhi ya vijana kujiondoa katika madhehebu hayo. Kwa Vundi Masai, kifo cha mkewe Faith Kumbwa mnamo 2019 kilimfanya kuachana na Kavonokya baada ya miaka 34. Mkewe alipougua akiwa mjamzito, alianza kwa kutafuta maombi kutoka kwa wazee wa kanisa. Hata hivyo, hali yake ilipozidi kuwa mbaya, alimpeleka katika Hospitali ya Rufaa ya Kaunti ya Mwingi, ambako alifariki licha ya juhudi za madaktari kumwokoa. “Kavonokya ilinikatisha tamaa nilipoihitaji zaidi,” akasema Bw Masai, ambaye sasa amejiunga na Kanisa la African Inland Church (AIC). Rose Mutua pia alipinga mafundisho hayo baada ya kuolewa na Willy Kamuti mnamo 1994. Alimpa mumewe sharti la kuchagua kati ya ndoa na Kavonokya. “Alichagua ndoa na kuachana na imani hiyo,” anakumbuka. Kavonokya, imani ya Kikristo yenye asili ya Kiafrika iliyojikita wakati wa harakati za kupigania uhuru, inatimiza miaka 80 tangu kuanzishwa Kitui. Wafuasi wake husisitiza kuwa maombi pekee ndiyo tiba ya maradhi, wakitumia vifungu vya Biblia kuunga mkono msimamo huo. Hata hivyo, imani hiyo inazidi kukosolewa kutokana na vifo vinavyohusishwa na kuchelewa kupata matibabu. Kamishina wa Kaunti ya Kitui Erastus Mbui ameanzisha kampeni dhidi ya dhehebu hilo. Ame
NewsKwankwaso broke APC defection pact with Tinubu — Abba
By Ibrahim Hassan-Wuyo Kano State Governor, Abba Kabir Yusuf, has accused his former political mentor, Senator Rabiu Musa Kwankwaso, of reneging on an agreement to defect to the All Progressives Congress (APC) after the 2023 governorship election. Yusuf, who made the allegation in an interview with BBC Hausa, said Kwankwaso personally asked him to approach […]