RAIS William Ruto anatarajiwa kutumia hotuba yake katika Mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) kuangazia masuala ambayo Kenya inayapa kipaumbele hasa yanayohusu amani na usalama.
Masuala mengine yanahusu ufadhili wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, mageuzi ya UN, usimamizi wa Akili-Unde (AI) na diplomasia ya kiuchumi.
Mkutano huo umeanza New York chini ya kaulimbiu “Kurejesha Imani, Kusimamia Mabadiliko: Umoja wa Mataifa Unaotekeleza kwa Wote.”
Rais Ruto alifika New York Jumamosi na tayari amekutana na Wakenya wanaoishi Amerika akisisitiza wana wajibu muhimu katika maendeleo kupitia uwekezaji, utaalamu na mitandao ya kimataifa.
Serikali pia ilizindua Jukwaa la Wakenya wanaoishi Ughaibuni, inayolenga kuwaunganisha Wakenya na kuongeza fursa za uwekezaji nchini.
Katika hotuba yake, Ruto anatarajiwa pia kuunga mkono juhudi za kuimarisha ushirikiano wa kimataifa, maendeleo na haki za binadamu, huku akitoa msimamo wa Kenya kuhusu mageuzi ndani ya UN.
Ruto kuangazia masuala ya Kenya akihutubu katika mkutano wa UN

This story was originally published by Taifa Leo.
Read the full story at Taifa LeoRelated stories
NewsAfenifere demands prosecution of sponsors of campaign violence
…Raises alarm over rising attacks ahead of 2027 elections By Adeola Badru The pan-Yoruba socio-political organisation, Afenifere, has raised the alarm over increasing political violence ahead of the 2027 general elections, calling for the arrest and prosecution of perpetrators and their sponsors. The organisation warned that the growing incidents of thuggery, intimidation and inflammatory political […]
NewsPHOTOS: First Lady calls for continued investment in children at UNICEF anniversary
First Lady Jeannette Kagame has called for sustained investment in the education, healthcare opportunities for children to ensure no one is left behind due to poverty, disability,...
NewsFirst Lady calls for continued investment in children at UNICEF anniversary
First Lady Jeannette Kagame has called for sustained investment in the education, healthcare opportunities for children to ensure no one is left behind due to poverty, disability,...
NewsObi woos Onitsha voters, promises jobs, better services
…Says Nigeria needs energetic president By Vincent Ujumadu The presidential candidate of the Nigeria Democratic Congress (NDC), Peter Obi, on Friday drew a large crowd in Onitsha, Anambra State, as he led members of his campaign team on a roadshow and town hall meeting in the commercial city. Obi began his visit with a stop […]