Video
RC MTANDA AWAKALIA KOONI WAKANDARASI WA UJENZI MRADI WA MAJI BUSEGA
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
RC MTANDA AWAKALIA KOONI WAKANDARASI WA UJENZI MRADI WA MAJI BUSEGA Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Saidi Mtanda, amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya mradi mkubwa wa maji wilayani Busega na kuwabananisha vikali wakandarasi wanaosimamia mradi huo kutokana na kusuasua kwa ujenzi. RC Mtanda amehoji idadi halisi ya wafanyakazi waliopo eneo la ujenzi (site), hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa chujio, pamoja na tarehe kamili ya kukamilika ili wananchi wa Simiyu wapewe taarifa sahihi kuhusu lini wataanza kupata maji safi na salama. Tazama video nzima kufahamu majibu ya wakandarasi na maagizo yaliyotolewa na Mkuu wa Mkoa. #GlobalTVOnline #Simiyu #Busega #MradiWaMaji #RCMtanda ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
NewsFCT traders, artisans pledge Tinubu 200,000 votes
Credit Wike’s roads, markets for endorsement By Omeiza Ajayi ABUJA — Traders, market women and artisans in the Federal Capital Territory (FCT) have pledged to mobilise at least 200,000 votes for President Bola Tinubu in the 2027 general elections, citing infrastructure and market development projects executed under the FCT Minister, Nyesom Wike. Chairman of the […]
NewsTinubu’s NYSC certificate: Court dismisses Atiku, ADC application
A Federal High Court in Abuja has dismissed an application by former Vice-President Atiku Abubakar and the African Democratic Congress (ADC) seeking to amend their suit challenging President Bola Tinubu's eligibility for the 2027 presidential election over his National Youth Service Corps (NYSC) discharge certificate.
NewsMany feared dead as overloaded boat capsizes in Bayelsa
By Samuel Oyadongha, Yenagoa Many passengers are feared dead after a cargo boat conveying more than 300 persons capsized in the riverine area of Southern Ijaw Local Government Area of Bayelsa State on Friday. The ill-fated vessel was reportedly travelling from Anyama Ijaw to Ukubie community when the incident occurred between 12 noon and 1pm. […]
NewsKagame, MTN Group boss discuss Rwanda’s digital economy, AI opportunities
President Paul Kagame met with Ralph Mupita, the chief executive officer of MTN Group, on Friday, November 20, at Village Urugwiro. The two leaders discussed MTN Rwanda’s opera...