Video
RAIS SAMIA AWAAPISHA MABALOZI IKULU - ATOA MAAGIZO MAKALI KUZINGATIA UADILIFU NA UWAJIBIKAJI...
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
RAIS SAMIA AWAAPISHA MABALOZI IKULU - ATOA MAAGIZO MAKALI KUZINGATIA UADILIFU NA UWAJIBIKAJI... Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewaapisha mabalozi na wakuu wa taasisi mbalimbali katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Novemba 25, 2026. Katika hafla hiyo, Rais Samia amewataka viongozi hao kutumia uzoefu na uweledi wao kuiwakilisha vyema Tanzania nje ya nchi na kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu mkubwa na uwajibikaji kwa Watanzania. Mabalozi walioapishwa ni pamoja na Talha Waziri, Lucas Aaron Mayanga, pamoja na Miraj Ukuti. #RaisSamia #IkuluDar #HabariTanzania #GlobalTVOnline #UapishoMabalozi ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
News2027: Tinubu has fulfilled promise made to Igbo after civil war – Kalu
Deputy Speaker of the House of Representatives, Hon. Benjamin Kalu, has said that President Bola Tinubu has fulfilled the promise made to the Igbo after the civil war in 1970.
NewsMiddle Belt Forum condemns renewed killings, abductions
…Urges governments to rescue abductees, protect communities and prosecute perpetrators By Henry Umoru ABUJA — The Middle Belt Forum (MBF) has condemned renewed attacks, killings, abductions and destruction of property in parts of Plateau, Niger, Benue, Kaduna and Borno states, calling on the Federal Government and security agencies to intensify efforts to protect vulnerable communities. […]
News‘Incoming President’, Titi celebrates Atiku, says ex-VP not tired at 80
By Omeiza Ajayi ABUJA: Wife of the former Vice President, Atiku Abubakar, has described her husband as the “incoming President of Nigeria” as he turned 80 on Wednesday, saying he is “not tired” and that his vision for the country is “even clearer.” In a birthday tribute titled “Daddy at 80”, Chief Amina Titi Atiku […]
NewsDennis Maronga: Police detail what happened before traffic cop was killed in road crash
Kakamega OCPD explained how a rider crossed the median and collided with traffic officer Dennis Maronga in a motorcycle crash, sparking divided online reactions.