PSC opens applications for the 2026/2027 National Internship Programme, with 12-month placements for graduates. Eligibility rules and the 14 December 2026 deadline.
Public Service Commission opens applications for additional 2026/2027 internship positions

This story was originally published by Tuko.
Read the full story at TukoRelated stories
Jobs and CareerKRA opens applications for 2027 internship programme, lists requirements
KRA opens its 2027 internship programme for recent graduates in 50+ disciplines, offering monthly stipends of KSh 25,000 or KSh 18,000; apply by 14 December 2026.
Jobs and Career2027: Ebonyi PDP candidate Odii promises 180,000 jobs
By Jeff Agbodo, Abakaliki The governorship candidate of the Peoples Democratic Party (PDP) in Ebonyi State, Chief Ifeanyi Chukwuma Odii, has promised to create more than 180,000 jobs and introduce free public primary and secondary education if elected governor in 2027. Odii made the pledges while unveiling his 2027 governorship manifesto, titled “ANYI G’EMEYA”: A […]
Jobs and CareerKCB posts top job vacancies for Kenyans with degrees to apply
KCB Group has five Kenya vacancies in investment banking, treasury and bancassurance, requiring degrees and relevant experience, with November 2026 deadlines.
Jobs and CareerAjira za kaunti zimegeuzwa kuwa za jamaa na marafiki, EACC sasa yafichua
TUME ya Maadili na Kukabili Ufisadi (EACC) imewaonya magavana, madiwani na maafisa wakuu wa serikali za kaunti dhidi ya kuingilia shughuli za kuajiri na kuwapandisha vyeo wafanyakazi. EACC inasema tabia hiyo inawanyima Wakenya waliohitimu nafasi za ajira wanazostahili. Tume hiyo inadai kuwa kuna ongezeko la visa vya wanasiasa kuingilia uhuru wa kikatiba wa Bodi za Utumishi wa Umma za Kaunti, huku baadhi yao wakidaiwa kushinikiza kuajiriwa, kuteuliwa na kupandishwa vyeo kwa watu wanaowapendelea. Kwa mujibu wa EACC, baadhi ya madiwani wanadaiwa kutaka nafasi fulani za kazi zinazotangazwa zihifadhiwe kwa jamaa zao, marafiki na wafuasi wao wa kisiasa. Wanapewa hisani hizo ili wapunguze shinikizo kwa serikali za kaunti na kulegeza majukumu yao ya kutathmini utendakazi wa magatuzi yao. Afisa Mkuu wa EACC, Abdi Mohamud alisema uchunguzi wa tume hiyo umebaini kuwa baadhi ya wafanyakazi hupandishwa vyeo kutokana na uhusiano binafsi, mapendeleo ya kisiasa au kutoa hongo badala ya uwezo na utendakazi wao. “Kuna visa ambapo nafasi za kazi hazitangazwi kupitia ushindani wa haki, au taratibu za kuajiri hupangwa kimakusudi ili kuwafaa jamaa, marafiki, wafuasi wa kisiasa na washirika wa watu wenye ushawishi,” akasema Bw Mohamud. Katika hotuba yake iliyosomwa na Meneja wa EACC katika eneo la Magharibi Eric Ngumbi wakati wa uzinduzi rasmi wa ukaguzi wa mifumo ya usimamizi wa rasilimali katika serikali ya Kaunti ya Kakamega, tume hiyo ilisema tabia hiyo haikomei kwa magavana na madiwani pekee. Baadhi ya wabunge wa Bunge la Kitaifa pia wanadaiwa kuingilia uajiri wa wafanyakazi katika kaunti zao. EACC sasa inazitaka Bodi za Utumishi wa Umma za Kaunti kulinda uhuru wao na kukataa shinikizo za kisiasa, ikisisitiza kuwa ajira za umma zinapaswa kutegemea sifa, elimu, uwezo na ushindani wa haki ulio wazi. “Kinachotia wasiwasi zaidi ni baadhi ya Bodi za Utumishi wa Umma za Kaunti kusalimu amri na kuachana na uhuru waliopewa na Katiba, na kuanza kufanya kazi kana kwamba ni idara zilizo chini y